Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nime-post!
Kumbe minyamwezi yote humu hayaelewi kiingereza!!!😂😂😂

Yani unaleta taarifa na hata hujui content yake ni nini. Mnatia huruma
IMG_20250912_154603.jpg
 
Leo tunat.omb.a timu nyingine ya kenya ili kukamilisha idadi ya timu zao kubwa zotee zimekalia gogo kutoka Tanzania.
 
It is the other way round you fool. Huku ni vijana wadogo mtandaoni wanaoongelea Vumbistan. Huko kwenu Hadi Rais anatuongelea. Example, during mambo ya Boniface mwangi, your parliament spent a whole day discussing Kenya, your president talked about Kenya. Huku our parliament had no time for you. Our president said nothing about you.
Well, president wenu aliomba msamaha Tanzania
 
Tatizo lako Bahati una hasira sn, eti Rais wenu haongelei Tanzania, alafu chakula cha bei nafuu atatoa wapi!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viongozi wenu wote wanaongelea issue ya Tanzania kuweka sheria ya katazo la raia wa kigeni kufanya biashara za kimachinga kitu ambacho kimepelekea wakenya kuumia sanaa cz over 70% ya wakenya walio Tanzania ni machinga, 20% ni walimu na waliobaki ndiyo kidoogoo wapo kwenye vikazi vya maana. And for your information, hata hao 10% walio kwenye white collar jobs pia tunawafukuza, bakini kwenu, kwani lazima mgombanie kuja Tz!!????
We jamaa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom