Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna akili! ๐Ÿšฎ
 
Sidhani kama ni kweli. Nkrumah kwanza hakuwa na nguvu.

Alipinduliwa akakimbia nchi, na kufia Uhamishoni.

Hata uwanja wa Ndege Ghana unaitwa Asante Kotoka, Mwanajeshi aliyempindua.
Hakukimbia nchi.
Alikuwa ameenda China kwenye visit huku nyjma watu wakafanya yaona alipofika ingawa wenyeji tayari walikuwa na data kuwa jamaa sio rais, lakini alipokelewa kwa heshima na red carpet bila kujua yaliyotokea na kupelekwa kwenye bnyumba ya wageni. Ndio alipoambiwa na kuoneshwa kwenye TV yanayoendelea Ghana. Waziri wake wa mambo za njea alipotumwa aende Adis Ababa kupinga coup na kuomba support kwa Nkurumah alitoweka na kuelekea Ghana same na watu alioambatana nao.
 
Timu zetu za taifa hazina kocha.
Yn ukiangalia uhitaji cheti cha ukocha kujua kwamba benchi la ufundi halifahamu linataka nn, katika miaka yote tuliyowahi kuwa na national team, hatujawahi kuwa na timu bora zaidi ya hii, hizo zingine zote ni kelele tu na maneno meengiii yasiyo na justification yoyote, kinachotuangusha kwa ss kipo wazi kabisa, benchi la ufundi. Kama tungekuwa na benchi la ufundi kama at least la kenya tungefika mbali sanaa, mana wakenya wana benchi la ufundi zuri ila timu hawana, sisi tuna timu ila hatuna benchi zuri la ufundi.
 
Baada ya kupiga sana kelele main roads za Masaki zimewekwa lami mpya juu ya lami za zanani sasa zinapendeza na kuvutia.

Bado mitaa ya Posta lami za zamani zimechoka inabidi zirudiwe. Samora,Mkwepu,Indira Ghandi etc inabidi zipigwe msasa.
Wasisahau njia za watembea kwa miguu.
Na drainage zifunikwe. Nyerere road amependeza sana
 
Na manyaya ya umeme na fibre wayafukie aisee
 
Ni bora kuliko kufumua uanze upya. Za Masaki zimependeza sana hasa baada ya kuweka lines na signs.
Hii ni cheaper na effective katika kufanya regular maintenance.

Badala ya kufumua lami yote, unakwangua tabaka la juu na kuziba nyufa, halafu unaweka lami mpya.

Hata barabara za zege, muda wake ukiisha, huwa wanakwangua kidogo na kuweka tabaka la lami, zege linabaki kama foundation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ