Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF inajiharia tu ndio maana mtoto wa mseven alisema anaweza kuiteka nairobi within a week na yuko right 😂😂😂😂

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1963303258350346570?s=46

Kunyaland ni central and southern tu huko kwengine hata Rais hajawahi kwenda 😁😁😁 Kunyaland sio nchi ni kaeneo tu kadogo wanapopatikana wakikuyu, kalenjin, Luo na jaluo 😁 ukipandisha huko juu kwa kina fardosa ni free homeless state hata wewe ukitaka uende ujitwalie mamlaka unaweza 😁😁😁 yaani ni kanchi kadogo nusu ya Tanzania lakini wameshindwa kukitawala chote
 
Jeshi la wapiga selfie
Haina hata intelligence unit kujua nani anaingia nchini kwa lengo gani watajitetea ugaidi upo complex kudeal nao wakati Tanzania pia kulikua na matukio ya aina hiyo ndani ya nchi, pia wanajiliwazaga ni sababu wamepakana na Somalia yenye gaidi wengi wanasahau pia Tanzania ilipitia hali kama hiyo kutokea Mozambique lakini ilichukua miezi kadhaa tu mpaka Mozambique tukaisafisha
 
Actually tuliwahi kuwa na scenario hizo miaka mingi sana, njia ya kutoka kigoma na bukoba au maisha ya kigoma ilikuwa changamoto.
Kuna Kijiji kimoja kinaitwa kasanda ilifikiaga hatua ukiona jirani yako amevamiwa leo kesho unajua ni zamu yako sasa ole wako ukimbie
 
mwaiofhawaii Kenge wa Non NATO ally kelele vingi sijui Special Ushuzi linchi linatiwa vidole na Kenya Drinking force ipo tu
😂😂Buffalo44, shida ni mnashangilia kita ambacho hamuelewi. Hao Jubaland forces wakiwa na militia groups wengine kama ras kamboni brigade e.t.c ni proxies groups partialy funded,trained supported by kenya kutoka 201l since the beginning of the invasion into south somalia(Jubaland), to fight and capture alshabab key held territories. Na pia kenya inawatumia ku undermine Mogadishu na kumaintain buffer zone ya vita between kenya na central Somalia.
 
mwaiofhawaii Kenge wa Non NATO ally kelele vingi sijui Special Ushuzi linchi linatiwa vidole na Kenya Drinking force ipo tu
Somali national army na jubaland forces hua hawaskilizani na hu pigana mara kwa mara. This time jubaland forces alilemewa na akakimbia kenya kutake refuge na ku regroup ili waweze kuendelea na vita yao na SNA... KDF considers Jubaland force as a friendly force and an ally, hakuna venye wanaeza anzisha vita nao, although wamekosa kwasababu they have undermined Kenya's territorial integrity since the conflict has spilled over into kenya's borders thus creating risk to its citizens.
 
Dar kama Dar.......
Massive construction everywhere 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Screenshot_20250903_173113.jpg
 
Haina hata intelligence unit kujua nani anaingia nchini kwa lengo gani watajitetea ugaidi upo complex kudeal nao wakati Tanzania pia kulikua na matukio ya aina hiyo ndani ya nchi, pia wanajiliwazaga ni sababu wamepakana na Somalia yenye gaidi wengi wanasahau pia Tanzania ilipitia hali kama hiyo kutokea Mozambique lakini ilichukua miezi kadhaa tu mpaka Mozambique tukaisafisha
Tungekua na jeshi dhaifu rwanda angekua kishaichukua karagwe,kule kundustan hata jeshi la ethiopia uwa linaingia kunyaland watakavyo,ukitaka kujua uimarq wa jeshi la kenya basi waione camera tu
 
Haina hata intelligence unit kujua nani anaingia nchini kwa lengo gani watajitetea ugaidi upo complex kudeal nao wakati Tanzania pia kulikua na matukio ya aina hiyo ndani ya nchi, pia wanajiliwazaga ni sababu wamepakana na Somalia yenye gaidi wengi wanasahau pia Tanzania ilipitia hali kama hiyo kutokea Mozambique lakini ilichukua miezi kadhaa tu mpaka Mozambique tukaisafisha
Sasa hapo unajiona expert wa security, jubaland forces wamekimbilia Kenya manake sisi ndo tuliwacreate na kuwatrain. Hao ni our proxies, hao wanaolalamika hawajui kitu kuhusu hio doctrine. Otherwise tungekuwa tushawamaliza mbio mbio.
 
Back
Top Bottom