Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni lini Tulisema Nairobi has 7,200 dollar Millionaires? Ebu tafuta hiyo post Ukipata ulete hapa ngamia hii.
Oktoba tunatiki

1756631913961.png


1756631924200.png
 
shida ya viongozi wa tanzania hawataku kukosolewa kwa kuambiwa ukweli kama vile viongozi wa kenya wanavokosolewa

tungekua na viongozi wanaokubali kukosolewa basi tanzania ingekua na viongozi bora kuwahi kutokea africa

kukosolewa sio laana ni uwajibikaji
Oktoba tunatiki

1756631947398.png


1756631962823.png
 
shida ya viongozi wa tanzania hawataki kukosolewa kwa kuambiwa ukweli kama vile viongozi wa kenya wanavokosolewa na kuambiwa ukweli

tungekua na viongozi wanaokubali kukosolewa basi tanzania ingekua na viongozi bora kuwahi kutokea africa

kukosolewa sio laana ni uwajibikaji

NB: Nendeni kwenye jukwaa la siasa kujadili siasa za Tanzania

 
MADUKA HAYA UTAPATA JEZI YA SIMBA REJAREJA - Kundustan Mtafika lini huku?

1. Magomeni Mikumi 👉@mr.punguzosports
2.Kawe 👉@maokoto_brands
3.Tandika 👉@asmajaphary
4.Tabata Maji Chumvi 👉@masacha_boutique
5.Kinyerezi👉 @joymavazi
6.Songwe 👉@chazy_fashion
7.Kariakoo 👉@nditto_simba
8.Mwenge 👉@almaina_shoespoint

Orodha ya maduka inaendelea itapostiwa tena hapa hapa Clouds

Endelea kuweka oda ya mzigo wa jumla kwenye maduka ya DAUDA STORE ili upate ofa hii ya matangazo bure[ Weka oda kwa @shaffihdauda_tz @dauda_sportsstore_sinza @daudasportstore_tabata @daudasports__ ]


View: https://www.instagram.com/p/DOAz3yTDDTD/
 
Back
Top Bottom