mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Which turmoil is kenya in?CHAN imekuja wakati mzuri Kemya. When the country is in turmoil then boom something to cheer about!
Which turmoil is kenya in?CHAN imekuja wakati mzuri Kemya. When the country is in turmoil then boom something to cheer about!
Kaka chuki inakusumbuaTunawacheka Wakenya, ila nadhani MSINGI alioweka Nyerere wote kwasasa tumepata wanasiasa akili za nyumbu, utakufa.
Maza ana siasa za visasi na watu wote walio ingia kwenye 18 zake kawalima ikiwamo Gwajima aliyemtaka akatwe mbele ya mkutano mkuu. Kwa data nilizo nazo, Ummy alisikika akisema Maza hatoshi na alikuwa akimback January ndio wakatoa yeye uwaziri, na wamekula tena ubunge.Venus Star, hivi Ummy ilikuwaje wakamkata, japo kuwa aliongoza kwenye kura za maoni?
He has visited Rwanda, Ethiopia, Uganda and even Somalia before, sasa ju amekuja Kenya inawauma. Enyewe ndio kwa maana unakanyaga benches na viatu chafu. 🤣 🤣
Here are more events to add to your pain.
![]()
![]()
![]()
![]()
Afrika ni bara la giza,visasi vipo kwa kila anaeweza kulipa kisasi kwa mbaya wake,kwa upande huo maza na magu wapo kundi 1Maza ana siasa za visasi na watu wote walio ingia kwenye 18 zake kawalima ikiwamo Gwajima aliyemtaka akatwe mbele ya mkutano mkuu. Kwa data nilizo nazo, Ummy alisikika akisema Maza hatoshi na alikuwa akimback January ndio wakatoa yeye uwaziri, na wamekula tena ubunge.
You cannot be against the head of state ukabaki salama. Yupo na bahati kakutana na Rais mwenye huruma.Maza ana siasa za visasi na watu wote walio ingia kwenye 18 zake kawalima ikiwamo Gwajima aliyemtaka akatwe mbele ya mkutano mkuu. Kwa data nilizo nazo, Ummy alisikika akisema Maza hatoshi na alikuwa akimback January ndio wakatoa yeye uwaziri, na wamekula tena ubunge.
Mzee acha kututusi waafrika. Kama afrika imekushinda ondoka. Wewe ni tone ndani ya bahari.Afrika ni bara la giza,visasi vipo kwa kila anaeweza kulipa kisasi kwa mbaya wake,kwa upande huo maza na magu wapo kundi 1
Ukweli ndio huo,ubinafsi na giza,kama tusingekua na vitu hivyo hapa duniani kusingekua na bara linalotufikia kimaendeleo,kwenye hili jukwaa tunaongelea maendelo ya nchi zetu,but si TZ wala kunyaland inayofikia kimiundo mbinu,sekta ya afya n.k moldova,nchi ambayo ni maskini zaidi europeMzee acha kututusi waafrika. Kama afrika imekushinda ondoka.
I never said what she did was sensible.You cannot be against the head of state ukabaki salama. Yupo na bahati kakutana na Rais mwenye huruma.
Uwezi ukahujumu state while you are working under that state
Rais siyo mtu mdogo. Elewa hilo
Ni inacurities tu.Maza ana siasa za visasi na watu wote walio ingia kwenye 18 zake kawalima ikiwamo Gwajima aliyemtaka akatwe mbele ya mkutano mkuu. Kwa data nilizo nazo, Ummy alisikika akisema Maza hatoshi na alikuwa akimback January ndio wakatoa yeye uwaziri, na wamekula tena ubunge.
Basi hata viwe na maana.Afrika ni bara la giza,visasi vipo kwa kila anaeweza kulipa kisasi kwa mbaya wake,kwa upande huo maza na magu wapo kundi 1
What turmoil kijana wa Tandale?CHAN imekuja wakati mzuri Kemya. When the country is in turmoil then boom something to cheer about!
Ndio afrika yetu hiyo mkuu,mtawala wa kidemkrasia anakua mfalme wa kama karne ya 12 hukoBasi hata viwe na maana.
Hivi vijana kama yule jamaa wa Songwe akiyechoma picha, Soka, Mdude wana madhara gani kwa taifa??
Tena yule jamaa wa picha yawezekana hata dishi lake halikuwa sawa.
Wewe ni kibaraka wa wazungu. Damu zilizomwagwa za dugu zetu kupamabana dhidi ya unyonyaji wa kikoloni leo hii unawatukana waafrika. Huenda wewe siyo mwafrika.Ukweli ndio huo,ubinafsi na giza,kama tusingekua na vitu hivyo hapa duniani kusingekua na bara linalotufikia kimaendeleo,kwenye hili jukwaa tunaongelea maendelo ya nchi zetu,but si TZ wala kunyaland inayofikia kimiundo mbinu,sekta ya afya n.k moldova,nchi ambayo ni maskini zaidi europe
Hapo sawa. Kumbuka Ummy alikuwa waziri aliyewekwa na huyo aliyekuwa anamuhujumu.I never said what she did was sensible.
Nilikuwa natoa ufafanuzi juu ya swali la Chamoto akitaka kujua nini Oddo alifanya kukatwa.