Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ile nairobi river alioahidi ruto na pesa ikatoka ikaliwa akasema itakua sehemu nzuri ambayo mpaka samaki watavuliwa hapo ndio hii imebakia sehemu ya watu kula madawa ya kulevya na bangi 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


View attachment 3456133View attachment 3456134View attachment 3456135View attachment 3456136View attachment 3456137View attachment 3456138View attachment 3456139View attachment 3456140View attachment 3456141
Kenya inashikwa na Wakikuyu, na sasa hivi wanafuata Wasomali, na wanasiasa wachache wa makabila mengine.

Kenya kuna systems mbili tofauti, za wanasiasa na wahuni na wakenya wa kawaida.

Kuna majamaa mahuni yanayoiba madini Kongo, mafuta ya magendo Sudan, wote wanatakatisha pesa Kenya.
 
gor mahia tv ipo kwanza ??😂😂😂
IMG_8237.jpeg
 
Back
Top Bottom