Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakin mawazo yanakuja. Mwendokasi za Phase 2 na phase 3 zikianza zitaondoa foleni.
Maana daladala kibao hazitakuwepo tena, itabaki foleni ndogo ya magari binafsi, bajaji na bodaboda. Bajaji na bodaboda bap zinaweza kupungua ikiwa mwendokasi itasimamiwa vzr.

Angalia Morogoro road, foleni zimebaki pale daladala zinapopakia na kushusha abiria, au pale machinga wanalifanyia kází Barabarani au sehemu zenye ujenzi kama KIMARA. Kwingine hakunaga foleni kiviile. Na hapo mwendokasi inasuasua
Morogoro road ni kweli haina foleni kabisa. I guess mwendokasi zikiwa effective foleni itapungua.
 
Hii Mikocheni ndio hua wanasema ni kama Kilimani. 🤣 🤣 🤣
Image



Image
Nadhani hata wewe unashangaa wanasema huo mto ni mchafu
 
Back
Top Bottom