Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona Bakhresa kaingia kwenye biashara ya cooking oil? Jamaa wa BIDCO wakae Chonjo!

huyu jamaa akifanya uwekezaji basi ni uwekezaji kweli sio maneno mengi kama yule muhindi janja janjaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
imagine ile parkland hua munaoneshwa humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3455499

View attachment 3455501
Mwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Cha muhimu zaidi usiache kufinya hizi Pulizo πŸ˜‚aka Kende au Float switch πŸ˜‚

IMG_2154.jpeg
 
Ila muda mwingine hata ungekuwa wewe roho ingeuma.
Unaamka asubuhi unasikia bongo kuna mjinga kaiingiza semi 100 , kufikia saa mbili asubuhi unaambiwa kuna meli imeshusha units 117 za yutong buses tu , jion unakuja ambiwa kuna faw bagamoyo wanajenga assembly plant ya 500,000 units kwa mwaka.
Mchana unaambiwa mbona Howo Tanzania inatoa units 30 kwa siku sawa na units 11,000 kwa mwaka wakati Kenya hapo mzalishaji mkubwa anatoa units 600 kwa mwaka yaani Kila siku units mbili🀣🀣🀣🀣🀣
Mara unasikia Laizer kapiga billion 20 za Tanzanite mirerani Arusha au jamaa zetu wa Chunya ameuza dhahabu zake na kupata billion 30. Aisee hatufanani na hawa ngombe kabisa
 
Mwenyekiti sisi tunaomba tu urudi salama. Ukiweza we funga usile wala usinywe chochote. Upo Mazingira hatarishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Cha muhimu zaidi usiache kufinya hizi Pulizo πŸ˜‚aka Kende au Float switch πŸ˜‚

View attachment 3456081
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nimeambiwa nichomoe sindano kaka wapumue kwanza πŸ’‰πŸ’‰
 
Naona BRT 3 wanafanya finishing sasa.
1. Sehemu zenye pedestrian crossing kuna alama za blind people
2. Sidewalks ni pana barabara zote inapopita, naona wanamalizia pia Buguruni
3. Sehemu baadhi wamepanda miti ya Palms na kwenye kila BRT Station
4. Maeneo yenye Terminals wamepanda Bustan kabisa. Mfano Airport, Gomz, mnazi mmoja nk
5. BRT Station ni glassy kwa sehemu kubwa, na mbele sΓ­na tiles za kipekee.
6. Barabara hii inaonekana itakuwa na services lanes sehemu nyingi, naona wanajenga maeneo ya Banda ka ngozi, vingunguti, jeti na Airport. Kwa hiyo ukihesabu lanes zote ni 6 mpaka 10 maeneo mengi.
7. Inaonekana wataweka traffic lights vingunguti,majumba sita na sehemu zote Kwenye makutano. Hii itaondoa foleni zilizobaki

Ishauri.
1. Wapande miti ya Palms na Bustan sehemu inayounganisha barabara kuu na services lanes. Wanaofagiaga barabara waogezewe mishahara wamantain hizo Bustan
2. Sehemu zenye parkng za Maroli zitolewe along Nyerere road. Maroli ndo wanaleta foleni na ndiyo yatakayoharibu barabara hii. Maroli yapo pale mbele ya Tazara, maeneo ya vingunguti nk na hadi sasa ndo sehemu zimebaki na foleni hasa jioni.
3. Waweke electronic ads kwenye BRT Stations, wawape makampuni ya Simu yatangaze biashara zao in return of Free WiFi kwa wananchi.
4. Hope BRT bus zitangia ndani ya Airport karibu na Terminal 3, maana kuna eneo limetengwa kabisa la mabasi.
5. Hii route itahusisha international arrivals, hivyo Mwendokasi kuwepo option ya kulipa kwa VISA card, kuondoa usumbufu kwa watalii, na Wageni wapya Tanzania.
6. Wajitahidi sana kutafuta Operator Mapema isije ikabaki miaka miwili bila mabus kama mbagala
7. Kama wana mpango wa flyover, kamata, aisee wafanye haraka sana
Lakin ngoja tuone, labda BRT 2 na BRT 3 zikianza landa pale foleni itaisha kama magomeni kusivyo na foleni kabisa siku hiz

PXL_20250826_124036066.jpg
PXL_20250826_124057959.jpg
 
View attachment 3456074View attachment 3456075
kamata panahitaji flyover, magomeni, kinondoni morocco, mwenge, kigogo, buguruni sheli, hata pale ilala boma sema wamerudia makosa yale yale ya kila siku

dar es salaam inahitaji flyover takriban 10 za kuanzia ili angalau kufuta foleni kwa asilimia fulani
 
Hold on mkuu kabla ya kuchomoa sindano embu turushie current picha za pale Muindi mbingu street hapo city market tuone kidogo 😁
hio ndio sehem pekee nairobi imewekwa paving ya pedestrian tena katikati ya barabara ndio zile picha hua wanapost hapa ukitoka nje ya hio muindi mbingu street kote ni kwangu pakavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenyeki wapumzishe warudi hewani wao kija Dar wanakosa hata cha kuposti uchafu hakuna wakuu wa wilaya, mkuu wa mkoa meya,na watendaji wengine wanaweza kuacha Dar ikachafuka kiasi hicho kweli hatujafika huko na hatutafika huko kamwe
We fala mwezi jana sio kiswahili cha TZ,baki kwenu huko huko machafu chafu

No residential area in kunyarenda can beat Upanga, nenda kawadanganbye wanuka mavi wenzako. 🀣🀣🀣🀣 ichoboy01 yupo Nairobi now and we all see what’s happening. Mitaa zenu ni sawa na tendale with some high rise buildings. Tena kuanzia leo ukome kutaja vimitaa vya wapumbavu huko kenya..

Back
Top Bottom