REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Sijawahi kuona Camel a.k.a Ngamia Bongo.Huku ni wapi tena! 😂😂😂
View attachment 3455662
Hawa maku ni nini wanafanya na hawa wadudu?
Sijawahi kuona Camel a.k.a Ngamia Bongo.Huku ni wapi tena! 😂😂😂
View attachment 3455662
Hebu wapumzishe kidogo.westland hua hamuoneshwi mambo kwa ground 😂😂😂😂
View attachment 3455605View attachment 3455606View attachment 3455607
Hapa wapi?hehehe waje wabishe sasa 😂😂😂😂😂
eastleigh hua munadanganywa nayo
View attachment 3455629View attachment 3455630
Kuna ngamia hapo anajuta kuzaliwa! Hii ni Mogadishu au? 🤣🤣🤣🤣Huku ni wapi tena! 😂😂😂
View attachment 3455662
Hizo timu zinalipa vizuri.Maplayer wao hawana talent kabisa
Wanzungukia yanga Simba azam tu
Chairman utaua inatosha 😂😂😂.ukiskia sasa wanavowadanganya wa nigeria utasema kwao ni japan 😂😂😂
View attachment 3455548View attachment 3455549View attachment 3455550View attachment 3455551View attachment 3455552View attachment 3455553
Potholes na hizo takataka under construction sites!?Watchie anaweka picha za under construction to satisfy his ego … the sad part is he knows ni ujinga tu ako naye .
I dare any Tanzanian to show us any neighborhood that can compete Kilimani in their LDC country.
View: https://youtu.be/T_hTmNuRfpI?si=77kvTiKdNdqgehMk
Nyang'au wanakasirika sana ukiwaonyesha kwamba unawajua walivyo😂🤣Potholes na hizo takataka under construction sites!?
Kwan huko hawanaga magari ya Taka?westland hua hamuoneshwi mambo kwa ground 😂😂😂😂
View attachment 3455605View attachment 3455606View attachment 3455607
Ile second phase lazima Kuna ufisadi ulifanywa pale. Ni suala la Muda tu,watawajibishwa.Hii design ndio wangefanya hata first phase na second phase pia. Sema second phase wamezingua sana.
Sasa ngamia wanakula nini hapo😂. Wanaishi kama nguruwe😳Huku ni wapi tena! 😂😂😂
View attachment 3455662
The highest player kwa league yao kaishia 360,000ksh , sasa wataachaje kukimbilia nje wakati hicho kiwango kinalipwa na singida united.Hizo timu zinalipa vizuri.
Kenya hamuna striker kama Clement Mzize.
Clement Mzize ametakiwa na timu ya Qatar,Morocco na Tunisia.
Akachagua kubaki Yanga kwa kuahidiwa kulipwa 45 millions Tzs ambayo sawa na 2.25 millions ksh.
Je Kenya mna ubavu wa kumlipa mchezaji mzawa 2.25 millions ksh!?
TZ Ina vipaji vingi sana kijana.
Hawa ni mafala na wavivu, mkoloni aliwasaidia kujenga kamji kao zen wakashindwa kuendeleza miji mingine kama sisi tunavyofanya. Yani hawa wasenge kwa uvivu walionao kama wasingetawaliwa wangekuwa ndiyo nchi ya mwisho hapa EA, hawawezi kujisimamia.wakat maendeleo yote wamepeleka nairobi wameacha mombasa imeoza amabyo ilitakiwa kupata maendeleo kabla ya nairobi 😂😂😂😂
nairobi ni chafu sanaa alooo 🤮🤮🤮🤮🤮🤮
Duuuhhhhhhamuwezi oneshwa mambo kwa ground sasa😂 😂😂😂😂😂
View attachment 3455542View attachment 3455543View attachment 3455545View attachment 3455546View attachment 3455547
Sasa mbn seem zote ni chafu mpk CBD? Kwann hawa wakenya ni wachafu namna hii?
Duuhh duuuhhh duuuhhhh, hii ni zaidi ya hatari aiseee, bora hata Nigeria na burundi.hehehe waje wabishe sasa 😂😂😂😂😂
eastleigh hua munadanganywa nayo
View attachment 3455629View attachment 3455630