The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hawa jamaa ni vichaa wallahi, kitu kikijengwa na fundi mkenya lazima kichekeshe. Ona huu ushuzi, gari inabidi ipande tuta ndiyo iendelee, na kulikuwa hakuna ulazima wowote wa kuweka lane mbili kwenye ka road kembamba kama slice ya mkate👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Barabara imepauka balaa