Hawa watu pichani, wamechoka wana njaa na hasira ya maisha vibaya mno. No wonder, a single call for maandamano wako njee na ready kufa kwa kipisi cha mkate. What a low life 🚮 🚮ukiskia sasa wanavowadanganya wa nigeria utasema kwao ni japan 😂😂😂
View attachment 3455548View attachment 3455549View attachment 3455550View attachment 3455551View attachment 3455552View attachment 3455553
Huyu Punda anachanja mbuga road nae anaishi mjini Nairobi?naona gari ziko barabarani 😂😂😂
utakuta punda ishavutishwa bangi hapo
hawa ndio wanshindana na dar
View attachment 3455505View attachment 3455506
ndio na hapo kashavutishwa bangi tayar😂Huyu Punda anachanja mbuga road nae anaishi mjini Nairobi?
Very poor quality! Another waste of public funds.chini ya expressway ya mchina njia ambayo wanapita wakenya 99% kwangu pakavu tia mchuzi 😂😂😂😂😂
politicians wao wanapita juu, huwes kua tajiri kenya kama haukp kwenye familia ya politicians never ever mpaka kufa
View attachment 3455536View attachment 3455537View attachment 3455538View attachment 3455539
Siku hiz sibishani kwa maneno. Ni picha tu.Ulisema you'll prove me wrong. I'm still waiting.
Thika road has sidewalks from Nairobi to Thika. Take that to the bank. Mkipata sidewalks kidogo mnaona ni miujiza. Mnapenda ubishi wa kiujinga.
Another Lagos in East Africa.hehehe waje wabishe sasa 😂😂😂😂😂
eastleigh hua munadanganywa nayo
View attachment 3455629View attachment 3455630
Jua kali style hiyo 😃Hawa jamaa ni vichaa wallahi, kitu kikijengwa na fundi mkenya lazima kichekeshe. Ona huu ushuzi, gari inabidi ipande tuta ndiyo iendelee, na kulikuwa hakuna ulazima wowote wa kuweka lane mbili kwenye ka road kembamba kama slice ya mkate👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3455269
Piga utosini kabisa hiyo kunyanSiku hiz sibishani kwa maneno. Ni picha tu.
Tena nilikuwa sijaona. Kuwa sidewalks za BRT 3 Zina hadi areas za blind people
Hapa ni Nyerere road, 16km from city center. Na Nyerere road yote Kuanzia city center mpaka Gongo la mboto ni Sidewalks kama hiz.
View attachment 3455609View attachment 3455611View attachment 3455615
View attachment 3455632
View attachment 3455634
Jiangalilie ujielezeTuambia hapa sidewalks ziko juu ama chini 😁
Hawa jamaa ni vichaa wallahi, kitu kikijengwa na fundi mkenya lazima kichekeshe. Ona huu ushuzi, gari inabidi ipande tuta ndiyo iendelee, na kulikuwa hakuna ulazima wowote wa kuweka lane mbili kwenye ka road kembamba kama slice ya mkate👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3455269
Hii design ndio wangefanya hata first phase na second phase pia. Sema second phase wamezingua sana.Siku hiz sibishani kwa maneno. Ni picha tu.
Tena nilikuwa sijaona. Kuwa sidewalks za BRT 3 Zina hadi areas za blind people
Hapa ni Nyerere road, 16km from city center. Na Nyerere road yote Kuanzia city center mpaka Gongo la mboto ni Sidewalks kama hiz.
View attachment 3455609View attachment 3455611View attachment 3455615
View attachment 3455632
View attachment 3455634
Hawa maku ni wachafu aisee!