Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pale hakuna shida ya foleni, ipo shida ya mafuriko mkuu, mvua zikiwa nyingi maji yanajaaga kupita maelezo.. 👇🏾View attachment 3452297eneo hili linahitaji daraja na si interchange.. ukijenga interchange hapo ni sawa na umeletewa mgonjwa anaehitaji kufanyiwa upasuaji wa kichwa, halafu wewe ukamfanyia upasuaji wa goti..

Eleveted road is the only true solution.
Interchange Inaweza ongeza mafuriko
 
Picha kama hizi zinawaumiza sana wakenya na kuja kututukana ovyo

1756115258462.png


1756115363346.png


1756115393282.png
 
Eleweka wanajenga panapo hitajika au ili mradi wanajenga itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na upigaji maake huezi niambia unaenda kujenga flyover kigoma na mahitaji yao siyo flyover kila nchi ina vipaombele vyake usirudie ujinga kama huo tena hapa
Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.

Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
 
Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.

Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
Flyovwr ni kutatua foleni au mambo ya ufahari??

Unaijua vizuri hiyo Expressway??

Unakuja kwanini ipo pale, na inamilikiwa na nani?

Unataka ijegwe kama urembo??
 
Back
Top Bottom