concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Pole unajitahidi kujilinganisha na lamu yenu, hiyo ilikuwa mafundi wa mwanza miaka ya 2014 walijaribu kutengeneza lakini hazijuwahi ingizwa kazini tofauti na za lamu ambazo zimezinduliwa juzi tuAmbulances in Mwanza.
Na umeikota hapa
HIZI HAPA AMBULANCE BAJAJ MADE IN MWANZA.
Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matib...
Hakuna hata charter ya hospitali wala kituo chochote 🤣🤣🤣🤣