Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,173
- 33,333
Wewe kwanza ni Kama unaishi shacks zile za kukodi.Hiyo hapo namba 3
Wewe kwanza ni Kama unaishi shacks zile za kukodi.Hiyo hapo namba 3
🤣 🤣 🤣 Watu wa informal economy hata hosting ya CHAN pekee ilishawaexpose.
View: https://x.com/NchiYanguNzuri/status/1959202629709664502
Unataka kucompare CHAN a one month tournament na hizo michezo zenu za mara mbili kwa mwaka. 🤣 🤣 🤣 CHAN imewashinda, sasa AFCON ndio mutaweza?Weka statistics wa the highest revenue mliyowahi kusanya kwa mechi yoyote Kenya iliyowahi vuka ksh 10mil?
Attendance ya mara moja isiwavuruge mnarudi kwenye ligi zenu ambayo hata kocha kulipwa mshahara itabidi asubiri miezi miwili 🤣🤣🤣🤣
Kumlipa kocha tu ilikuwa mtihani, mmejaza kauwanja kwenye hivi vimashindanl mnaona mmefikia.
View attachment 3450610
Hayo mnayoshangilia leo kutoza 200 tushayafanya 12 years back na bado hata hatujisifii sababu ni pesa ndo sana.
The highest amount ya makusanyo ilikuwa ni more than 25mil ksh .
Kiasi ambacho mpaka sasa hamjawahi ota hat kupata
View attachment 3450616
View attachment 3450610
20*20 Inaweza toa kitu quality sio kama hizi zenuWacheni kujenga kiholela kama panya, mtu anajenga kwa plot ya 20 by 20. 🤣 🤣 🤣
Umeona mfano wa uwanja unavyojazwaga Jana?Unataka kucompare CHAN a one month tournament na hizo michezo zenu za mara mbili kwa mwaka. 🤣 🤣 🤣 CHAN imewashinda, sasa AFCON ndio mutaweza?
Haya tuletee revenue collection ya mechi yoyote ya above 10mil kshThanks for sharing old news, hii FKF ya Nick Mwendwa iliisha kitambo sana. Pole sana. 🤣 🤣 🤣 We have a new federation in office.
Thanks for sharing old news, hii FKF ya Nick Mwendwa iliisha kitambo sana. Pole sana. 🤣 🤣 🤣 We have a new federation in office.
globalpublishers.co.tz
20*20 Inaweza toa kitu quality sio kama hizi zenu
View: https://vm.tiktok.com/ZMANo4vsD/
Ebu linganisha na quality ya hii nyumba ya 20*25
View: https://www.instagram.com/p/DNfLSuhNwPv/?igsh=MWE5ZWxnNDN1cDBnYQ==
Mapato ya CHAN yako wapi, CAF wanataka kujua if you are capable of hosting a 1 month tournament. Tulishaona you failed terribly hata mumeshindwa na UG. 🤣🤣🤣Huku umefika lini kwanza 20mil ksh kwa mechi moja hiyo ni mwaka 2023![]()
Mapato ya Simba na Yanga Jumla Tsh Milioni 410, Simba Yalamba Tsh Milioni 183 - Global Publishers
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliozikutanisha Simba na Yanga Jumapili ya April 16, 2023 umeingiza jumla ya shilingi milioni...globalpublishers.co.tz
Hata hizo mechi zote za chan mwaka huu kwenu hakuna iliyofikisha this amount
Mapato ya ligi yako wapi kwanza ? Kiasi kikubwa mlichowahi ingiza ni 7mil ksh yaan 140mil tsh ambayo haifiki hata nusu ya mapato ya taifa stars versus morocco kwa miaka yote tunapokutana nao🤣Mapato ya CHAN yako wapi, CAF wanataka kujua if you are capable of hosting a 1 month tournament. Tulishaona you failed terribly hata mumeshindwa na UG. 🤣🤣🤣
Unajua tabia maskini pale anapopata kitu kidogo huwa anapita njia nzima anajambajamba ili ajulikane kuwa kashiba , sasa ndo nyinyi kundustan , yaan kuingiza watu wasiokuwa na kazi kwenda kushangaa uwanja mnaona kuwa ndo mnaweza wakati kwa ligi za kawaida tu hata kufikisha 10mil ni nadra sana kwenu mnataka kulingana na nchi ambayo mechi moja Inaweza ingiza over 20mil ksh🤣🤣🤣🤣Mapato ya CHAN yako wapi, CAF wanataka kujua if you are capable of hosting a 1 month tournament. Tulishaona you failed terribly hata mumeshindwa na UG. 🤣🤣🤣
Kumbe wewe ni wa Loliondo 😂😂Siyo kila mtu anakaa Dar.
TZ people live everywhere.
Dumb
Ligi ya timu mbili, ndio kwa maana CHAN imewashinda ju teams zilikua zaidii ya mbili. 🤣🤣🤣Mapato ya ligi yako wapi kwanza ? Kiasi kikubwa mlichowahi ingiza ni 7mil ksh yaan 140mil tsh ambayo haifiki hata nusu ya mapato ya taifa stars versus morocco kwa miaka yote tunapokutana nao🤣
KFC has opened their 6th branch in Eastlands. After Donholm definitely Komarocks will be next.
View: https://x.com/KFCinKenya/status/1957784454170087732
Ligi yenu ya timu 20 Iko wapi ? Tungependa tuyaone mapato yake.Ligi ya timu mbili, ndio kwa maana CHAN imewashinda ju teams zilikua zaidii ya mbili. 🤣🤣🤣
Focus, CAF walisema watatumia CHAN kupanga AFCON, sasa wamejua which stadiums will we always be empty. 🤣 🤣 🤣 Mumeshindwa na CHAN, mumetuletea aibu na viwanja empty sasa AFCON munadhani munaweza.Ligi yenu ya timu 20 Iko wapi ? Tungependa tuyaone mapato yake.
Anyway kati ya 10 Kenya hakuna hata timu moja yenye uwezo wa hata 1mil usd .
Acha kukaza fuvu kijanaKumbe wewe ni wa Loliondo 😂😂
Subiria na uone halafu uje ushangazwe, tumekuwepo mwenye game la Mpira na kwetu ni biashara utashangazwa na kitakachotokea , kwenu tayari mnakashfa ya kuwa na vurugu. Hiyo ni taa nyekundu kwenu pia kumbuka mtakuwa kwenye uchaguzi ,lazima mchinjane kidogo tegemea kuona hata hizo rights mnapotezaFocus, CAF walisema watatumia CHAN kupanga AFCON, sasa wamejua which stadiums will we always be empty. 🤣 🤣 🤣 Mumeshindwa na CHAN, mumetuletea aibu na viwanja empty sasa AFCON munadhani munaweza.