NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Mwenyekiti toka nimejifunza hilo, sasa hivi sichukui hata hilo neno Moja😂 . Hawa mbwa wachafu sana na midomo yao mirefu😂kaka nilishakupa simple equation about hawa mbwa😂😂😂😂
" kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja na hilo moja usilale mpaka ulitafakari vzr "