Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 498
- 2,185
DSM
Ukiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?So itabidi utengeneze njia kadhaa za juuu na chini ambayo Inaweza pelekea kukawa mzuio wa maji tofauti na daraja , kumbuka mto msimbazi ukarabatiwa wote
We mbwa unatuletea something 2014As if hapo kwenu hazipo. 🤣 🤣 🤣
Kwanza nyie ndio magwiji wa Bajaj Ambulance.
![]()
![]()
![]()
Alisikika Mkunya mmojaDar is a slum hakuna street benches, sasa hajui kazi ya hizo benches. Actually hata za Nairobi sijawai kuona mtu amesimama juu. Tabia mbaya sana hio.
Nadhani kaka mpaka sasa hakuna official design iliyokuwa published. Nimejaribu kufuatilia kwa kina sana.Ukiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?
Lengo la pale kudhibiti mafuriko kwanzaUkiweka nguzo kama za daraja la Magufuli, utazuia vipi mji kupita?
Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, kuunganisha Salender, Jangwani, Morocco rd na ilalaLengo la pale kudhibiti mafuriko kwanza
Morocco kuna project ya flyover. Nadhani inasubiriwa pesa tu.Haina shida, ila huko mbeleni lazima watengeneze vimchepuko, waunganishe Salender, Jangwani, Morocco na kigogo.
Truly said.Wakenya niwape siri nchi za kisocialist huwa zinaguza miji yake kwa kasi. Hivyo vijiji wanavyovitengeneza ubadilika na kuwa miji haraka. Exammple ni china na urusi.
The world is not fair yaani wenzako next door on the North side wanalalamikia vitu vya msingi No AC, Kelele nginjangija too much shaking na soot problem wewe unataka upunguziwe AC dah!!!!!Malamiko yangu wapunguze Ac watatua , Mimi sio wa kuvaa sweta saa sita mchana buana.
Yaan kama wametumwa kutokea njombe
MaviiiiHii michezo siyo kila nchi zinaweza only Tanzania. Wanaojaribu wanishia kuandamana
View attachment 3452343
View attachment 3452344
View attachment 3452345
View attachment 3452346
Jihurumie mwenyewe na msubiri rufaa yenu CAFSijui nicheke ama nikuhurumie.
Wanafikiri hatujui😂Now lets us come to the reality on the ground
View attachment 3452367
View attachment 3452368
More than 60% of residents in the wealthiest county in GDP terms (Nairobi) live in slums despite hizo rosy tarakimu za karatasi