Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 11,269
- 14,893
Unapumuliwa ngoliWe fala mwezi jana sio kiswahili cha TZ,baki kwenu huko huko machafu chafu
Unapumuliwa ngoliWe fala mwezi jana sio kiswahili cha TZ,baki kwenu huko huko machafu chafu
Itoke wapiwaambie wakuoneshe a three level interchange kama hio wakikuonesha naomba unitag 😂😂😂😂😂
Kwa maelezo pale panaonekana patakuwa ni SEPARATE PROJECT kabisa.Jangwani pale serikali inaenda kutukosea sisi na vizazi vyetu vijavyo,pale apapaswi kujengwa daraja kama la wami huko vichakani,mjini kama pale panahitaji,interchange ya maana,viongozi wetu wanatuletea ujima pale
Itoke wapi
Nasikia Kenya treni ya umeme ilikuwa two centuries ago.Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.
Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
Unajenga flyover ila unashindwa safisha mji huo si ujinga?Oya unawaonyesha wakenya huu uchafu? Nilikuwa Naivasha mwezi jana hii sio story kwao wanajenga flyovers hadi mikoani ambazo dar tu hakuna.
Nairobi express way itakuja bongo after two centuries
Yes hata Mimi niliwashangaa kujenga daraja badala ya intacharnge.Jangwani pale serikali inaenda kutukosea sisi na vizazi vyetu vijavyo,pale apapaswi kujengwa daraja kama la wami huko vichakani,mjini kama pale panahitaji,interchange ya maana,viongozi wetu wanatuletea ujima pale
Pale hakuna shida ya foleni, ipo shida ya mafuriko mkuu, mvua zikiwa nyingi maji yanajaaga kupita maelezo.. 👇🏾Yes hata Mimi niliwashangaa kujenga daraja badala ya intacharnge.
Yes hata Mimi niliwashangaa kujenga daraja badala ya intacharnge.
Kat mbwe huko,ndio unazidi kujidhihirisha ww ni kunyan,maku wwUnapumuliwa ngoli
Pale hakuna shida ya foleni, ipo shida ya mafuriko mkuu, mvua zikiwa nyingi maji yanajaaga kupita maelezo.. 👇🏾View attachment 3452297eneo hili linahitaji daraja na si interchange.. ukijenga interchange hapo ni sawa na umeletewa mgonjwa anaehitaji kufanyiwa upasuaji wa kichwa, halafu wewe ukamfanyia upasuaji wa goti..
Eleveted road is the only true solution.
imagine hii ni barabara kabisa 😂😂😂
mambo kwa ground
View: https://x.com/ogetembe/status/1959309151470760187?s=46
View attachment 3451164View attachment 3451165View attachment 3451166View attachment 3451167
Gari zinazotoka Morocco zingepita juu hadi ilala au keko. Gari zinazotoka posta via fire zingepita juu hadi manzese arafu chini ukawa na barabara zingine.Pale hakuna shida ya foleni, ipo shida ya mafuriko mkuu, mvua zikiwa nyingi maji yanajaaga kupita maelezo.. 👇🏾View attachment 3452297eneo hili linahitaji daraja na si interchange.. ukijenga interchange hapo ni sawa na umeletewa mgonjwa anaehitaji kufanyiwa upasuaji wa kichwa, halafu wewe ukamfanyia upasuaji wa goti..
Eleveted road is the only true solution.