mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,804
- 5,260
Just about to print out and frame this masterpiece on my office wall. I think we all should. Photo of the century…🤣🤪😁
Kwa Kenyans wanaodhani shobo ni ESTATES na SMART CITIES.
Tanzania estates hazijawahi kiwa na mafaniko.
Hii ni Kigamboni👇👇
View: https://youtu.be/VPmaIBsRcb8?si=667mywtRzBuk_ycf
AVIC walipiga hasara hawajawai ona. 🤣 🤣 🤣Hii si ni Ile host estate ya wachina?
Ni ya Wachina.Hii si ni Ile host estate ya wachina?
With that hawajawai jaribu another housing project again huko vumbistan 😂😂AVIC walipiga hasara hawajawai ona. 🤣 🤣 🤣
Si ati hamna shobo, ni pesa ndio hamna and that's why those houses has been vacant since they were constructed.Ni ya Wachina.
Nimekuonesha kuwa sisi hatuna shobo na estates za Foreignees kama nyie mliojaza hizo estates na smart cities Nairobi yote.
Weka na picha za dandora na kariobangi🤣🤣🤣🤣Mitaa za watu ambao wanajielewa. 🤣 🤣 🤣 Middle class wenu wanaishi mbagala. 🤣 🤣
![]()
Maisha za kishamba, dunia nzima nchi zote developing and developed, people in urban areas wanaishii kwa estates. Stop justifying your poor urban planning. Masaibu ya kupimiwa mashamba na miguu. Tafteni surveyors muwache upuzi ya kujenga bila mpangilio kama panya.Ni ya Wachina.
Nimekuonesha kuwa sisi hatuna shobo na estates za Foreignees kama nyie mliojaza hizo estates na smart cities Nairobi yote.
Very true. Yet they are on steroids in Nairobi real estate market. Chinese can’t keep up with the high demand in Nairobi. I hear they have now pitched tent in Kilimani buying out old buildings.With that hawajawai jaribu another housing project again huko vumbistan 😂😂
Living good, is building your own house. Siyo kuishi nyumba za kampuni.Si ati hamna shobo, ni pesa ndio hamna and that's why those houses has been vacant since they were constructed.
Siku ntakuwa na pesa mtaelewa the meaning of living good.
Dunia mzima wapi?Maisha za kishamba, dunia nzima nchi zote developing and developed, people in urban areas wanaishii kwa estates. Stop justifying your poor urban planning. Masaibu ya kupimiwa mashamba na miguu. Tafteni surveyors muwache upuzi ya kujenga bila mpangilio kama panya.
Pole sana, huku hakuna unga za kupima. 🤣 🤣 🤣Weka na picha za dandora na kariobangi🤣🤣🤣🤣
The same Kigamboni.Si ati hamna shobo, ni pesa ndio hamna and that's why those houses has been vacant since they were constructed.
Siku ntakuwa na pesa mtaelewa the meaning of living good.
Sasa ona mshamba, I clearly said developed and developing countries not LDC's like bongoslum. Usiwe mjinga unadhani ukiishi kwa estate huwezi jijengea nyumba yako? 🤣🤣🤣Dunia mzima wapi?
Why are Kenyans so dumb?
Hawawezi hawa nyang'au, hata ukiwashikia kiboko😂Weka na picha za dandora na kariobangi🤣🤣🤣🤣
Nani ameongelea Eastleigh we ngombe?Eastleigh Ina square km 6.7 population yake haizidi 150,000 only 3% ya total population ya nairobi
Kumbuka Nairobi ni sqkm 600+
Halafu huko si wanaishi wasomali tu leteni makazi ya wakamba,wakikuyu na luos 🤣🤣🤣
Living good, is building your own house. Siyo kuishi nyumba za kampuni.
This is the same Kigamboni, residents with own houses, own styles.
View: https://youtu.be/Br9-54GPzG0?si=fiIbF6jhyk36KyL_
Kocha hachezi mpira, wachezaji ndo hakuna. Hapo sioni mtu anaweza pewa namba Harambee stars. Inshort league yenu imevuliwa chupi 😂😂😂
Wazee wa butua butua 😂😂😂😂😂😂