Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Focus, CAF walisema watatumia CHAN kupanga AFCON, sasa wamejua which stadiums will we always be empty. 🤣 🤣 🤣 Mumeshindwa na CHAN, mumetuletea aibu na viwanja empty sasa AFCON munadhani munaweza.
Gor mahia wanaweza jicommit hivi
Azam FC ilimweleza Feisal Salum mpango wa kuongeza mkataba kwa miaka 2, kuanzia 9 Juni 2026 hadi 8 Juni 2028.

Ada ya kusaini (Signing-on fee): Azam ilipendekeza Tsh 805,254,286, ambayo itawekwa kwa awamu; net atayopokea baada ya tozo ni Tsh 563,850,000.= 28mil ksh

Mshahara wa Miezi: Tsh 79,092,064; baada ya makato (iller NSSF na kodi), net inakadiriwa kuwa Tsh 50,000,000.=2.5mil ksh

Nyumba iliyokamilishwa (Fully furnished house) na tiketi nne za usafiri wa mashua (return boat tickets) kwa msimu mmoja kati ya Dar es Salaam na Zanzibar zimejumuishwa kwenye mk
ataba.
 
Subiria na uone halafu uje ushangazwe, tumekuwepo mwenye game la Mpira na kwetu ni biashara utashangazwa na kitakachotokea , kwenu tayari mnakashfa ya kuwa na vurugu. Hiyo ni taa nyekundu kwenu pia kumbuka mtakuwa kwenye uchaguzi ,lazima mchinjane kidogo tegemea kuona hata hizo rights mnapoteza
You already failed the first litmus test by having empty stadiums, our issues have been easily resolved by having fan zones. Nyinyi mumeshindwa kujaza viwanja despite paying the least amount of money for entry.
 
Simba SC has a new main sponsorship deal with the international gaming company Betway, which was announced in July 2025. The three-year agreement is worth a record 20 billion Tanzanian Shillings (TSh) or approximately $7.9 million. This lucrative partnership follows Simba SC's recent split with its previous main sponsor, M-Bet.

Key details of the Betway sponsorship:
  • Term: The deal is for three years.

  • Value: The total value of the sponsorship is TSh 20 billion over the three years.

  • Significance: This partnership is considered a landmark commercial breakthrough for Simba SC and Tanzanian football, aiming to significantly boost the club's financial standing and ambition to become a top club in Africa.
Versus
The Football Kenya Federation (FKF) recently secured a significant 10-year sponsorship deal with the gaming firm SportPesa, which will be the title sponsor of the Kenyan Premier League. Valued at Ksh1.12 billion (approximately $8.7 million USD), this partnership is the largest in Kenyan football history and aims to provide long-term financial stability and growth for the league. The deal commenced with an initial Ksh85 million for the upcoming season.
Key Details of the SportPesa Deal:
Duration: 10 years.
Sponsor: SportPesa, a gaming firm.
Beneficiary: The Kenyan Premier League.
Value: Ksh1.12 billion (approximately $8.7 million USD).
Start: The deal includes an initial Ksh85 million for the first season.
Impact and Significance:
Historic Deal: This is the biggest sponsorship deal in the history of Kenyan football.
Financial Stability: The partnership is expected to bring long-term financial stability to the league and provide a significant boost in revenue for FKF.
Growth for the League: The increased funding is intended to drive commercial growth for the Kenyan Premier League and help improve its overall visibility and financial standing.
 
You already failed the first litmus test by having empty stadiums, our issues have been easily resolved by having fan zones. Nyinyi mumeshindwa kujaza viwanja despite paying the least amount of money for entry.
Hamna hela buana mlikuwa mnaenda kushangaa sprinklers tu baada ya renovation.
History haiwezi potea kwa maua ya masika🤣🤣🤣
 
Gor mahia wanaweza jicommit hivi
Azam FC ilimweleza Feisal Salum mpango wa kuongeza mkataba kwa miaka 2, kuanzia 9 Juni 2026 hadi 8 Juni 2028.

Ada ya kusaini (Signing-on fee): Azam ilipendekeza Tsh 805,254,286, ambayo itawekwa kwa awamu; net atayopokea baada ya tozo ni Tsh 563,850,000.= 28mil ksh

Mshahara wa Miezi: Tsh 79,092,064; baada ya makato (iller NSSF na kodi), net inakadiriwa kuwa Tsh 50,000,000.=2.5mil ksh

Nyumba iliyokamilishwa (Fully furnished house) na tiketi nne za usafiri wa mashua (return boat tickets) kwa msimu mmoja kati ya Dar es Salaam na Zanzibar zimejumuishwa kwenye mk
ataba.
Your stadiums were still empty for CHAN, 1 month tournament hamuwezani nayo ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣 Uganda has proved why the have a higher GDP per Capita than bongoslum.
 
Your stadiums were still empty for CHAN, 1 month tournament hamuwezani nayo ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣 Uganda has proved why the have a higher GDP per Capita than bongoslum.
Vipi kuhusu Kenyan league ya mwaka mzima na bado mnashindwa lipa mpaka wachezaji wenu.
Tumewwwmbiw nyinyi mlikuwa mnaenda shangaa sprinklers
 
haha diabetes ...
Hio ambia mama yenu.

Image
 
Back
Top Bottom