Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lile eneo sasa hivi la Moto Sana, Wakati Mkuki mall inapigwa Brush upya na kuja na Pandain Mall, Home City kaamua kuja kuzuia watu Gomz, kitunda etchuiu Quality Center. Kuna booming flani ya aina hii ya masoko yanachipuka kila kona halafu bei sawa na Kariakoo au chini zaidi. Sasa hivi kuna Home city tayari ana Maduka matatu ( Mlimani City, Palm Village, na Sasa Quality center, pia Kuna Happygo shopping pale Dar Village, Kuna Home Markert Mbezi African, Kuna City Store Mikocheni.
Mkuki mall ilinisikitisha sana.
 
Kabla hii tournament ianze watu walijipiga kifua
Lakini sasa ni aibu mechi baada ya mechi
 
Tiwagesi aliwahi kusema mizigo itakuwa inapitia mombasa ndiyo inakuja kwetu vp kuna mzigo wowote ulishawahi kupitia kundurenda

Screenshot_20250719-223530.png
 
TZ ina production ya zaidi ya 4000MW za umeme kwa sasa.

Ila kuna projects nyingi za umeme zinaendelea za Maji, Jua na Georthermal.

Sisi hatuna shida, Kenya wameshafanikowa kwenye Geothermal lazima tuje kufanya benchmarking.

Nadhani hata KETRACO ilipewa tender ya kusaidia -drilling project yetu ya Geothermal, Ngozi.


View: https://youtu.be/fl5nDqxoC4Q?si=EDV3B01lxFcTS8Fh

Oyaaaa KETRACO is a high voltage transmission company, geothermal inafanywa na GDC Kenya.
 
Football politics. We gonna learn from this. Won't happen again. At least we got a second chance, AFCON proper.
I respect ur true observation .. my major concern is if fans couldn’t make it in stadiums in the middle of the cities, what gonna happen to Arusha which is in Serengeti. You better have a plan B for AFCON..
 
Back
Top Bottom