ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sioni FUTURE.na sasa watajenga na pesa ya nani ikiwa sasa miradi wanaiuza kwa jina la PPP ๐๐
Kenya hakuna kitu nafuuajabu ni kua uganda mafuta ni rahisi kuliko kenya ambayo in bandari๐๐๐
na sasa watajenga na pesa ya nani ikiwa sasa miradi wanaiuza kwa jina la PPP ๐๐
walijaribu kila aina ya project lakini wapi waliishia kuliwa pesa zao tu sijui BRT wakapaka listick thika, sijui wakaja na ndoto ya tram ikaishia kwa hewa, mara railway city ๐๐๐๐๐๐๐
yani nje ya nairobi hakuna project ya maana ya kusema wanaendeleza nchi never zaidi ya vi appartment vya ruto anavowadanganya navo huku wamiliki wakuu ni politicians na hapo ndio utaona ajabu ya hawa punda yani hawana hata fikra ya kufkiri kua wanarudi nyuma baada ya kwenda mbele
hio talanta yenyewe ni mradi wa PPP kutoka china maana yake still mchina atakua mmiliki kama vile nairobi expressway ambayo mpaka leo haijaonesha mwanga kama itarudisha pesa within 30 good years ๐๐๐๐
sasa ikiwa 696km sq area ya nairobi city na katika hzo hzo nairobi national park iko ndani ile misitu yote imezunguka nairobi imo ndani ya hio hio km sq
Lakini Sisi tuko na uwanja mpya wa mpira. ๐๐๐By 2030 our SGR will have touched Lake Victoria, Lake Tanganyika.
Billions of USD being invested here by the Government of Tanzania.
We have no equal in this region. We are untouchable.
Sijawahi kusikia Kenya wana visionTatizo wanamipango mizuri ila hawana vipaumbele vya miradi na upigaji ni mkubwa sana
Lile eneo sasa hivi la Moto Sana, Wakati Mkuki mall inapigwa Brush upya na kuja na Pandain Mall, Home City kaamua kuja kuzuia watu Gomz, kitunda etchuiu Quality Center. Kuna booming flani ya aina hii ya masoko yanachipuka kila kona halafu bei sawa na Kariakoo au chini zaidi. Sasa hivi kuna Home city tayari ana Maduka matatu ( Mlimani City, Palm Village, na Sasa Quality center, pia Kuna Happygo shopping pale Dar Village, Kuna Home Markert Mbezi African, Kuna City Store Mikocheni.Hio sio Quality Centre imepata mmiliki mpya?
Na Proper sidewalks, Pedestrian and Cyclist friendly city๐Logistics centre iko Morogoro road, hio hapo juu ipo Nyerere road. Najua umeona BRT lanes ukajua ni same location. Dar major roads zote sasa hivi zina BRT I.e 6 lanes plus service roads.
Malls ni tafsiri ya kukua kwa middleclassLile eneo sasa hivi la Moto Sana, Wakati Mkuki mall inapigwa Brush upya na kuja na Pandain Mall, Home City kaamua kuja kuzuia watu Gomz, kitunda etchuiu Quality Center. Kuna booming flani ya aina hii ya masoko yanachipuka kila kona halafu bei sawa na Kariakoo au chini zaidi. Sasa hivi kuna Home city tayari ana Maduka matatu ( Mlimani City, Palm Village, na Sasa Quality center, pia Kuna Happygo shopping pale Dar Village, Kuna Home Markert Mbezi African, Kuna City Store Mikocheni.
Kujliwaza gani wewe bongolala wakati unaambiwa ukweli?
hata hio mipango hawqna vile vile hua wanakurupuka kama walevi usingizini๐Tatizo wanamipango mizuri ila hawana vipaumbele vya miradi na upigaji ni mkubwa sana
vision ya kila mkenya ni kua mwanasiasa ili awe mwizi ๐๐๐๐Sijawahi kusikia Kenya wana vision