Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily Dose
screenshot_20250819_091356_facebook-jpg.9787512

View: https://youtu.be/pYTHN0mIxII sgr iko tabora huko,nyie mwaka wa 10 huu naivasha to malaba tia maji tia maji,post tu talanta maana ndio mradi mkubwa mlionao kwa sasa
 
The great difference between Kenya na TZ , is Uoga hauko kwa Wakenya . TZ got a thousand more poverty problems but they won’t dare highlight it for fear of CCM retaliation. But Kenyans will shame even their President. So Wabongo enjoy exposing Kenya’s freedom of expression, something you only see on Kenyan tvs or social media ..😁😁
The difference siyo UOGA.

Kenyans have nothing to lose, due to economic hardships.

Kijana anakaa Kibera, hajala, anadaiwa kodi, hana kazi, na bado hana kipande cha ardhi na bado yuko ingrained na ukabila. What do you expect??

MTZ hana shida ya chakula, mavazi na kulala na hivyo despite the challenges ana matumaini.

Kenyans mnatumika tu,

Kenyatta family drives the Gikuyu/Gachagua whatver they wish.

Luos have been fighting for the interest of Odinga family since 1960s. Leo Ruto has bought Odinga and the whole Luos are silent,. Na Ruto kampa teuzi familia yote ya Odinga

Kamba always with Mudavadi.

Kales wako tayari kufa kumtetea Ruto hata kama wanachoma Makaa.

You killled KANU, but the same POLITICAL GANG iliyokuwa KANU ndio hiyo hiyo inashika madaraka kila siku.

WAKE UP.

You are being USED
 
So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
tuoneshe sasa hio tatu city yenye 3b usd sasa musituletee propaganda za kina kasongo hapa 😂😂😂😂😂 kwasababu kila siku munadanganywa basi munafkiri uongo ni chakula cha kila mtu ng'ombe wewe
 
Ndio maana mji umejaa FLYOVERS, BYPASS, HIGHWAYS, na UNDERPASS lakini wapi??

Mji umejaa kuta za MAZEGE kwa jina la BARABARA lakini wapi?

Watakuja kushtuka wamechelewa sana.

Futa hiyo Nairobi National Park, panua mji.

Ondoa Nairobi mentality, endeleza miji mingine kama Mombasa, Nakuru, Lamu, Malindi na Kisumu.

Imagine, Talanta, Kasarani zote ziko Nairobi.

Traffic jam haitakuja kuisha.
walijaribu kila aina ya project lakini wapi waliishia kuliwa pesa zao tu sijui BRT wakapaka listick thika, sijui wakaja na ndoto ya tram ikaishia kwa hewa, mara railway city 😂😂😂😂😂😂😂

yani nje ya nairobi hakuna project ya maana ya kusema wanaendeleza nchi never zaidi ya vi appartment vya ruto anavowadanganya navo huku wamiliki wakuu ni politicians na hapo ndio utaona ajabu ya hawa punda yani hawana hata fikra ya kufkiri kua wanarudi nyuma baada ya kwenda mbele

hio talanta yenyewe ni mradi wa PPP kutoka china maana yake still mchina atakua mmiliki kama vile nairobi expressway ambayo mpaka leo haijaonesha mwanga kama itarudisha pesa within 30 good years 😂😂😂😂

sasa ikiwa 696km sq area ya nairobi city na katika hzo hzo nairobi national park iko ndani ile misitu yote imezunguka nairobi imo ndani ya hio hio km sq
 
Kuna mambo hawataki kukubali, ila ndio ukweli.

Nairobi ni ndogo na nyembamba sana.

Kwanza ilitakiwa hata serikali ya Kenya ihame Nairobi, mji upumue.

Otherwise, watakuja kuanza kujenga Flyover juu ya flyover.
 
The great difference between Kenya na TZ , is Uoga hauko kwa Wakenya . TZ got a thousand more poverty problems but they won’t dare highlight it for fear of CCM retaliation. But Kenyans will shame even their President. So Wabongo enjoy exposing Kenya’s freedom of expression, something you only see on Kenyan tvs or social media ..😁😁
Kutokua waoga kumeondoa slums,kumeondoa njaa,mngese huko kwenu kunaongoza kwa jobless east africa nzima
 
Back
Top Bottom