Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza amequote gazeti la serikali . Ni kama wakati wa Moi kuquote uchumi from Kenya Times ( owned by KANU)… he thinks he’s tricking me…🤣🤣
so hawatakiwi ku report habari au?? hvi ww unafkiri tanzania kuna upuuzi kama kwenu? media zote ni kikuyu na kalenjin 😂😂

yani tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya na bado huogopi tu?? 😂😂
 
Umeambiwa tatu has over 100 companies ni kubisha tu unapenda kubisha
ziko wapi ndio zile mulokua munatuonesha humu ? kampuni ya kuuza cherehani au?? 😂😂😂😂

hvi wewe unaijua 3b usd vzr ??? hio ni pesa imejenga largest electtic dam in east africa nyerere dam with 2115 MW na ina bwawa la kuhifadhi maji ukubwa wake sawa uchukue nairobu yote, kisumu yote na mombasa yote combined
 
Serikali imeamua ipee mashabiki tiketi za bure kuepusha aibu 😂. Alafu serikali yenyewe hata haina pesa ya kupea team ikichapa morocco, surely 500k ni nini kwa team
View attachment 3445875
hii news imeandikwa na nani???😂😂😂😂

hebu wait hii ndio official source yako?? ama kweli punda anaweza kua na akili kuliko mkenya
 
Hivi Kenya kuna tajiri anaweza nunua fleet kwa style ya ktz
1755585978036.jpg
 
Kuna hizi pande za Nairobi CBD hazionyeshwi.

NairobiWalker alikuwa Dar akarekodi kisutu. Akafika conclusion kuwa Kariakoo pekee ndo ameiona kuna majengo mazr. Akasema Dar is fully of old Buildings


Hapa ni archives, city Centre kabisa Ya capital city yao. Huko nyuma ni huzuni na ni pachafu balaa
View attachment 3445683View attachment 3445684
I took a video of your CBD and it had worse roads than this section (Which is not even part of the CBD). Hiyo video huwa inawauma sana.
 
Alafu wanafurahia. Heri tubaki Tu na Matatu zetu.
Ngoja nitunze hii comment. October utafunga domo lako. Kwa sababu routes ya KIMARA tatizo lake linajulikana na wanalifanyia kazi

Tanzania inapata changamoto na inazitatua. Kenya changamoto zao hazitatuliki miaka yote. Mfano ishu ya traffic jamz Nairobi hasa Haile selassie round about, uhuru highway, globe roundabout.etc
No hope kabisa au mnafikiri flyovers zitamaliza hizo foleni.

Bado kuna Stalling of BRT project, old or no kabisa matatu stages. Zinapark pembeni kwa barabara
Na bado maslums yenu toka uhuru.

Yaan Tz pamoja na kuwa na worse government lakin bado changamoto zinatatuliwa. BRT 2 inafunguliwa few weeks to come, Airport inakuwa connected na BRT system nk.
Nyinyi furahieni matatu zenu.
 
Walitegemea katibu mkuu wa EAC angewaunga mkono lakini kawaruka futi mia kila nchi inasheria zake za ndani na sio kisingizio cha EAC
Uzuri siku hizi watu wamewashtukia kama ni waongo,hata siku 1 huwezi kukuta mTanzania akidanganya kuhusu kitu cha kunyaland ni cha kwetu,hao wangese sasa,ndio maana ile ban inawauma mno,kikubwa serikali ile ban iifanye kwa vitendoView attachment 3445603

Kuna wakati mtoto wa Odinga alidai kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya ha ha ha😂

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Back
Top Bottom