ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
matajiri hao 😂😂😂 alaf wanawacheka burundi eti masikini
View: https://x.com/propesatv/status/1957358745710690615?s=46
wao wajiandae tu 😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DM8PDTXxK4J/?igsh=MTRuOW95ZGhqbjY2bw==

kaka nairobi ni mji mdogo sana tena finyu, ni mji ambao hauna barabara za kutosha ndio maana unaona wao traffic jam za masaa mawili mpaka matano ni kitu cha kawaida sana 😂😂😂😂 alaf mbaya zaidi wanakuja kujidanganya humu as if sisi hatuwajui vileMimi nikajua vitu vya hivi huko kwao havipo vipo huku kwetu tu maake hawajawahi kuvionyesha hata siku moja
Post here. Na mimi naenda same streets tomorrow nakupigia picha. Hasa pale mnazi mmoja uone landscaping iliyofanywa.I took a video of your CBD and it had worse roads than this section (Which is not even part of the CBD). Hiyo video huwa inawauma sana.
Hahaaa🤣🤣🤣🤣🤣hii inakuja baada ya ile ban! Je wanaweza kugoma!?![]()
![]()
Uzuri siku hizi watu wamewashtukia kama ni waongo,hata siku 1 huwezi kukuta mTanzania akidanganya kuhusu kitu cha kunyaland ni cha kwetu,hao wangese sasa,ndio maana ile ban inawauma mno,kikubwa serikali ile ban iifanye kwa vitendoView attachment 3445603
mzee umeamua na kukata mauno😂😂hii inakuja baada ya ile ban! Je wanaweza kugoma!?![]()
![]()
kaka nairobi ni mji mdogo sana tena finyu, ni mji ambao hauna barabara za kutosha ndio maana unaona wao traffic jam za masaa mawili mpaka matano ni kitu cha kawaida sana 😂😂😂😂 alaf mbaya zaidi wanakuja kujidanganya humu as if sisi hatuwajui vile
View: https://x.com/captainochenge/status/1856925027104600133?s=46
Haiwezi kuwa FAKE, data halisi.Wakitoa muone mko chini yetu si mtasema fake data? Ama mnadhani hatuwajui?
Kuna siku waliona picha moja ya barabara ya tope TZ, wakaanza ku-comment kuwa Tanzanian is 20 years behind.Nafikiri nyang'au hawajui maana ya kuwa mbele miaka 50. Wanajisemea hovyo tu😂😂
Cc: Mimi Wewe Yule
Na bado munakuja Kenya kufanya benchmarking.
View: https://x.com/TarhanYild53511/status/1948416175039217722?t=JzoR6OD5aJz2EKHcHnqFdw&s=19
Heb post hiyo video basi Wewe mkundu kunukaa.I took a video of your CBD and it had worse roads than this section (Which is not even part of the CBD). Hiyo video huwa inawauma sana.