Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Post here. Na mimi naenda same streets tomorrow nakupigia picha. Hasa pale mnazi mmoja uone landscaping iliyofanywa.

Archives sio CBD siku hiz? Eh!
Why should I post something I already posted? I'm not going to be pulled into your sealioning.
Nilikuambia unichoree CBD ya Dar ukakataa, mimi naweza kuchorea CBD ya Nairobi ukitaka ndio uone sehemu gani ziko part of the CBD.
 
Kwani CBD ni nini?

For an area to be CBD what's required?
 
According to Kunyarendans hapa tatu city tayar kumeshawekezwa $3 billion 👇🏾
IMG_0556.jpeg
🤣🤣🤣🤣 huyu mbwa Teargass anasema hii tatu city is better than Dodoma city. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dah hawa wa kunyarenda bhana.
 
Juzi nilikuwa nacheki mechi yao na Zambia kuna dogo kama wa miaka 17 hivi akaingia ni baa tunagonga vyombo alikuwa na baba yake akawa anamsubiria babayake akasema mbona wakenya wanatuchukia hivyo ni kwasababu ya maendeleo tuliyonayo kwasasa au ni kitu gani akasema yaani nawachukia wakenya sana mpaka watoto wanawachukia kiasi hiki nikasema haya yote wamejitakia wenyewe acha wapambane na hali yao
Kunyan chuki yao na wivu vilianza kuonekana kipindi cha JPM,yan pale ile chuki yao kikabila ikafahamishwa TZ na ikafanya hata watanzania ambao walikua hawajui kinachoendelea kufahamu kumbe kunyan wapo vipi,now hamna mtanzania asiejua kama hao mungiki wana roho mbaya,yote hii wanadai tunawapita,yan kufanya maendeleo yetu wanaona tunawapita hao wangese
 
Hawakubali na hawajikubali kuwa miradi ya maendeleo inahitaji pesa wala sio miradi ya show off kama wanavyo fanya ndiyo maana wanatuchukia kwa kua tunafanya miradi ya kipao mbele sio miradi ya maonyesho chuki ni kubwa sana na watatuchukia sana
Kunyan chuki yao na wivu vilianza kuonekana kipindi cha JPM,yan pale ile chuki yao kikabila ikafahamishwa TZ na ikafanya hata watanzania ambao walikua hawajui kinachoendelea kufahamu kumbe kunyan wapo vipi,now hamna mtanzania asiejua kama hao mungiki wana roho mbaya,yote hii wanadai tunawapita,yan kufanya maendeleo yetu wanaona tunawapita hao wangese
 
According to Kunyarendans hapa tatu city tayar kumeshawekezwa $3 billion 👇🏾View attachment 3446099🤣🤣🤣🤣 huyu mbwa Teargass anasema hii tatu city is better than Dodoma city. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dah hawa wa kunyarenda bhana.
So tatu city imeishia hapo? Nyinyi ni wabishi kupitiliza. Kwa taarifa yako tatu ina makampuni zaidi ya 100 na wafanyikazi zaidi ya 20,000
 
Kwa mtu aliyeishi Nairobi. Akisikia tambo za wakenya. Atawaignore tu.

Dar es Salaam is so developed kuliko Nairobi hasa kwa upande wa Horizontal infrastracture
Ni vile tu sisi hakuna maphotographer wakutosha kupiga picha angle tofauti tofauti kama wanavyofanya wao.
Mji wao ni ndogo mno. Ukisikia making kama Westlands sijui Kilimani unaweza fikiri ni madistrict makubwa labda kama unavyoona Kinondoni kumbe ni mitaa tu size ya kata.

Ndo maana picha za Dar zikipostiwa mitandaoni Africans wanashtuka.
Tazama comments kwenye hii post wengi wanakataa sio Dar. Na ni mitaa mitatu ya Posta.

View: https://www.facebook.com/100091513781510/posts/692196820507438/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

yani hua najiuliza sana

View: https://x.com/nyakundireport/status/1957752056518742464?s=46
 
Ndio maana mji umejaa FLYOVERS, BYPASS, HIGHWAYS, na UNDERPASS lakini wapi??

Mji umejaa kuta za MAZEGE kwa jina la BARABARA lakini wapi?

Watakuja kushtuka wamechelewa sana.

Futa hiyo Nairobi National Park, panua mji.

Ondoa Nairobi mentality, endeleza miji mingine kama Mombasa, Nakuru, Lamu, Malindi na Kisumu.

Imagine, Talanta, Kasarani zote ziko Nairobi.

Traffic jam haitakuja kuisha.
 
Back
Top Bottom