kilifi just 20 km from mombasa CBD hali ndio hiii
View: https://x.com/sholard_mancity/status/1957689480984608809?s=46
Kilifi kuna umasikini wa kutisha. Ukitoa Mombasa CBD, Pwani ya Kenya kama Kilifi, Lamu, Malindi kuna umasikini wa kutisha vibaya sana