ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwanza amequote gazeti la serikali . Ni kama wakati wa Moi kuquote uchumi from Kenya Times ( owned by KANU)… he thinks he’s tricking me…🤣🤣Kenya power has 10 million customers, ebu waulize TANESCO ina customers wangapi? Oooopppss hawajui about customers, they only count villages.🤣🤣🤣
Munaongoza kusambaza vijijini 🤣less with what ikiwa demand ya kenya 2025 ni 2100MW na mm nimekupa demand ya 2024 what about mpaka sasa itakua ngapi na sisi ndio tunaongoza africa kwa kusambaza umeme vijijini 😂😂 unategemea demand itakua ni ile ile au???
sisi hua hatu fake data mzeee
Na pia mlipe watu kuingia uwanja muache kutuaibisha3 new stadiums for Afcon 2027.. Arusha 👇🏾View attachment 3445733Dom 👇🏾View attachment 3445736Znz View attachment 3445737tukimaliza huku hizi zipo ready .. Mkapa stadium 👇🏾View attachment 3445753ZnzView attachment 3445746PembaView attachment 3445752…
Hapo bado tunazo
7. Chamazi complex
8. Uhuru stadium 🏟️
🤣🤣🤣 likija suala la viwanja vya mpira sisi ni super power in this region.
Umeambiwa tatu has over 100 companies ni kubisha tu unapenda kubishahio 3b usd ilipowekezwa iko wapi??? 😂😂
au ndio yale yale propaganda za kasongo
maana jamaa anawajulia sana
😂😂😂😂 ukiwaskia wanavowadanganya watu sasa
View: https://x.com/kenyansays/status/1957397798267093075?s=46
Halafu kuna mbwa wanadai wanaweza ku-host Afcon peke yao! Kisa Talanta!3 new stadiums for Afcon 2027.. Arusha 👇🏾View attachment 3445733Dom 👇🏾View attachment 3445736Znz View attachment 3445737tukimaliza huku hizi zipo ready .. Mkapa stadium 👇🏾View attachment 3445753ZnzView attachment 3445746PembaView attachment 3445752…
Hapo bado tunazo
7. Chamazi complex
8. Uhuru stadium 🏟️
🤣🤣🤣 likija suala la viwanja vya mpira sisi ni super power in this region.
Hawa mbwa huwa wanaota ndoto mchana mchana.Halafu kuna mbwa wanaddai vwanaweza ku-host Afcon peke yao! Kisa Talanta!
Sisi sio level yenu fools. 🤣🤣🤣. Taifa zima mko na kauwanja kamoja kenye hadhi.Na pia mlipe watu kuingia uwanja muache kutuaibisha
we kusoma hua hujui kabisa ? 😂😂😂Munaongoza kusambaza vijijini 🤣
Watanzania ni vilaza. Haya tuambie munaunganisha nyumba ngapi kwa mwaka