Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Typical Bongolalas hawapendi ukweli.😂😂😂
Hapo si ni Nairobi?Tatu pekee. 👏 Mumejaribu lakini.
Hiyo $100 unamlipa wewe!! Nyang'au hii!!!191 usd wakati mwalimu wa primary analipwa less than 100 usd, unaona watu hapa ni mang'ombe kama wewe
Huyo farmers ni mtanzania pure mgogo wa huko DodomaTukiwaambia all those farms products coming to Kenya are farmed by Kenyans in Tanzania hakuwa mnaamini.
Sasa unaona vile mnalia after kugundua?😂😂🤣.
Tena ni Westlands. Nilisikia mtu anasema ni zaidi ya Posta 😂😂.
That was 20 years ago. Wao ndio wanapata vibe la football leo! 🤣🤣🤣Tanzania tulikamilisha ujenzi wa Mkapa Stadium 2005, ambayo ni kubwa kuliko viwanja vyote kenya past and future
Sasa ni nini cha ajabu hapa? Ama ndio Mara yako ya kwanza kuona cabros?Tena ni Westlands. Nilisikia mtu anasema ni zaidi ya Posta 😂😂.
Posta Sasa. Landscaping kama hii huwezi ipata kenya nzima
View attachment 3444842
View attachment 3444845View attachment 3444854View attachment 3444852
Larry Madowo, one of few successful Kenyans in the world has Azam tv. Familia yake yote inawatch powered by Tanzania 😂Nobody watches Azam in Kenya. And talking about decoders, are you aware Kenyans owns double the number of decoders as Tanzania. Hakuna Kitu mtawaitufikia nyinyi.
NairobiWalker alikuwa Rombo moshi vijijini huko anashangaa vihiace vipanya kama vile kwao capital city yao wan trams labda au metros.😂😂.Dar huwezi kuona vipanya popote lakini naislum nganya ni world War 1 delivery vans
Ati 99% ya Dar haina sidewalks. Hiv kwa nini mnapenda Uongo?Si niliweka hapa video ya CBD yenu bila sidewalks mkaanza kusema nimechagua sehemu mbovu? Yani mnachagua kisehemu kidogo Darislum chenye sidewalks wakati 99% ya Darislum haina sidewalks halafu mnataka kutulecture juu ya sidewalks?
Hiz toyota hiace ziko built in kenya? Where?What's wrong with those vans? The funny part unashangalia your Chinese imports while slandering Kenyan local built vans. Utabaki kuwa ng'ombe milele.
Acha kuwa fala hivi, minimum wage wanaangalia mshahara wa serikali sio random wages, wapo warundi kibao Tanzania wanalipwa hata chini ya hiyo unaofosi iwe official
Nasemaga bongo kila sehemu ni pesa sana.Kama watapapanga vizuri kwala inayo potential Ya kuwa mji wa kisasa sana, since itakua na industrial park kubwa iliyopangwa vizuri zaidi, marshaling yard+ the largest dry port. Wakiwekeza makazi yakisasa+ huduma za kijamaa, hili ni eneo ambalo litaipa Pwani region taswira mpya kabisa.
Kwasasa hawa wapumbavu wa kunyarenda ni kelele tu, ila hawana cha kutuambia no more.Tena ni Westlands. Nilisikia mtu anasema ni zaidi ya Posta 😂😂.
Posta Sasa. Landscaping kama hii huwezi ipata kenya nzima
View attachment 3444842
View attachment 3444845View attachment 3444854View attachment 3444852
hio mombasa ndio utacheka mpaka uanguke chini nissan caravan panya vimebinuliwa nyash huko nyuma utasema vinataka kuzaa 😂😂😂😂😂NairobiWalker alikuwa Rombo moshi vijijini huko anashangaa vihiace vipanya kama vile kwao capital city yao wan trams labda au metros.😂😂.
Akaenda hadi Arusha. Ati anashangaa third largest city kuwa na vipanya. And by the way siku hiz routes nyingi za Arusha wameintroduce routes za coasters.
Kenya kuanzia capital city hadi nchi nzima vimejaa vipanya. Na nyingi ni very old.