Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan wanazidi kukimbiwa, nakumbuka the entire coast tourism belt of Kunyaland ilikua dominated na Italians, most properties were owned by the Italian tycoons lakini now all abandoned, cha ajabu utashangaa watafake data waoneshe walipokea watalii wengi na mapato mengi


View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1954464966162977093?t=_sNzpYFaOvke3QyRs49Zwg&s=19

Serengeti huko kuna gari za utalii nyingi mno mpaka inashauriwa serikali iweke limit ya magari mbugani,serengeti ni full watalii,bado tarangire,ngorongoro,mikumi,znz nk,kidata lakini nyang'au lazima watupite
 
Namba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.

Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.

Wakishawabeba wanawashushia JKIA.


Ndio maana huwa wanalia tukipiga marufuku KQ kutua TZ, au kuja na magari yao TZ.
Hao watalii watakua wazembe nao wao,france air now inatua znz na kia,klm inatua dar,znz na kia,soon british air nao watarudi TZ
 
UNION MEAT GROUP - Tunakula nyama za Maana. Wakenya wanakula Mutura
1754996368449.png


1754996433932.png
 
I wish it ends this way at group stages; all EAC teams wamalize kileleni, West Africa na North wametuzoea sana!., then next Olympics we go as EAC same way Great Britain does(England, Scotland and Wales goes to Olympics as one) Incase of a gold win, the EAC anthem is the one resounding across the arena!
1755001337676.jpg

 
Namba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.

Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.

Wakishawabeba wanawashushia JKIA.


Ndio maana huwa wanalia tukipiga marufuku KQ kutua TZ, au kuja na magari yao TZ.
Idumu ban ya maumivu dhidi ya Wakundustani milele na milele!
 
foleni hio boda ya mutukula tanzania and uganda magari yanayotoka tanzania kuingia uganda foleni ni kubwa over 3km

aise nimefurah sana kuona mizigo sasa inapitia bandari ya dar kwenda uganda kwa wingi kiasi hichi am so happy sasa tunagawana ile cake ya uganda
 
Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,
Kenya meat commission abatuer.,
View attachment 3439160
View attachment 3439161
Watu watakucheka sana. Kijana 🤣 🤣 🤣 🤣
Katika mwaka wa 2023, Kenya ilizalisha jumla ya tani 556,653 za nyama

Tanzania, kwa mwaka 2023, nchi ilizalisha tani 805,000 za nyama



Source:

 
foleni hio boda ya mutukula tanzania and uganda magari yanayotoka tanzania kuingia uganda foleni ni kubwa over 3km

aise nimefurah sana kuona mizigo sasa inapitia bandari ya kwenda uganda kwa wingi kiasi hichi am so happy sasa tunagawana ile cake ya uganda
View attachment 3439177
Itakuwa Magufuli bridge imesaidia.

Bado SGR to Mwanza
 
Back
Top Bottom