ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,507
Wakundustan wanazidi kukimbiwa, nakumbuka the entire coast tourism belt of Kunyaland ilikua dominated na Italians, most properties were owned by the Italian tycoons lakini now all abandoned, cha ajabu utashangaa watafake data waoneshe walipokea watalii wengi na mapato mengi
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1954464966162977093?t=_sNzpYFaOvke3QyRs49Zwg&s=19
Hao watalii watakua wazembe nao wao,france air now inatua znz na kia,klm inatua dar,znz na kia,soon british air nao watarudi TZNamba kubwa ya watalii inayohesabika Kenya mi pamoja na TRANSIT.
Huko US na Ulaya, Kenya Airways inawauz kwa watalii kuwa itawapeleka Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro.
Wakishawabeba wanawashushia JKIA.
Ndio maana huwa wanalia tukipiga marufuku KQ kutua TZ, au kuja na magari yao TZ.
Watalii wengi ni wavivu, wanataka kila kitu timilifu.Hao watalii watakua wazembe nao wao,france air now inatua znz na kia,klm inatua dar,znz na kia,soon british air nao watarudi TZ