In the next few years hamutaweza kushindana na miji yetu, kwasababu kwasasa miji yetu mikubwa yote tunawekeza kimkakati.. Tegemea kuona miji yenye level kubwa ya maendeleo Dom, Arusha na Unguja. Kwenye hii miji tunao uwekezaji mkubwa kuliko miji yenu yote kando ya Nairobi ambayo na yenyew uwekezaji wake mkubwa mnaotambanao ni nyumba za makazi. 🤣🤣🤣
Nacheka sana nikiona mnajipiga kifua kuhusu apartments, kuna mpumbavu mwenzako anasema eti construction boom ya Tz ilikufa, 🤣🤣🤣 ujenzi wa apartments Dar ulikatizwa na JPM ili kuelekeza pesa kwenye kujenga miundombinu ya kimkakati (umeme, bridges, rail ways, water supply services, health services n.k) hizi sector zote kwasasa hakuna hata moja mnayoweza kutugusa.
Tukihamia kujenga nyumba za makazi huu Uzi mtaukimbia