Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah ni hatari, ila kuna watu wanatulaumu eti tunapenda mpira wa Simba na Yanga.

Unaona kabisa siasa zimezidi.

Utachagua lipi utoke uende Uwanjani or upitie bars or restaurants, screen HD vinywaji, hakuna fala wa Mama Mama.

Unaenjoy mpira ukimaliza unageuza home.

Or uende Uwanjani ukute ufala na siasa nyingi? Like seriously tumezidi sasa na inaanza kukera
Juzi niko sehemu nikamuoma chawa amevaa shati la kijani halafu kwenye "screen saver" ya simu ameweka picha ya "mama" ujinga mtupu 😂😂😂
 
na hizo money markets funds hela zao wanaweka kwenye mifuko ya rambo?
Yani kila Mtanzania ni mjinga Tu hivi? Money Market funds keep their money in Government bonds and bills. Now go ahead and ask me where government keep their money.

I have realized that Tanzanians in JF hawajui anything about finances.
 
Ila wakuu siasa hizi za uchawa zimeharibu sana Mambo.

Hii CHAN mtu hana mwamko kabisa kisa mijitu inaingiza siasa kila sehemu.

Yaani mtu utoke home kwako ufike taifa, ukae uenjoy mpira ghafla unaona bendera ya nchi ina picha ya Mama mama.

Jezi zina picha ya Mama mama, bado tukiwa wengi utasikia Mama amejaza.

Bado Taifa stars ikishinda utasikia Mama mama.

Kwa huo ujinga kuna mtu atawazingatia atoke aende kuingizwa kwenye ujinga?

Si bora mtu ukae home.

Kingine Waziri, Naibu waziri, na watu wote wapo na Wajumbe kutafuta kura ya ubunge.

Mwingine Naibu yupo anafanya michongo kesi ya Billion ya Tigo ale na AY.

LET BE SERIOUS SIASA ZIMEDODESHA HAYA MASHINDANO, TOKA MWANZO UNAJARIBU KUGAWA WATU NA MAMBO YA MAMA MAMA, NA TUPO GENERAL ELECTION.

Mbona Museveni amekaa miaka 40 hana huu ujinga?

Unaona kabisa tofauti na Tz nchi zingine wanaenda kwa mpira ila sisi tunaenda kutafuta platform ya Siasa.
tanzania tulifaa tupate rais kama husein mwinyi hvi sasa ili mambo yaende vzr
 
When you crashed our discussion kwani uliona tukidiscuss about 5 floors buildings?

Just accept that Dar currently has no energy to compete with Addis Ababa and Nairobi. Hata Mombasa haiwezani nayo saa hii.
I’m not surprised wewe unatoka vijijini kwahyo lazima uwe na ushamba wa magorofa mana Ndio umefika mjini kushangaa hayo. 🤣🤣🤣🤣

By the way si lazima gorofa iwe 30 floors kwasababu it doesn’t give it the status of a super tall structure. From 100 meters- 150 meters floors them both of the same status (sky scrapers) some sky scrapers have only 10-20 floors.

Rudi Bush, mji unahitaji wajanja sio wewe mbwa kachoka.. shamba boy 🤣🤣🤣
 
What happened to Kenya kupokonywa CHAN na kupewa Rwanda that you kept on singing here? Let me tell you one thing, Kenya is the main host of this tournament. Tanzania na Uganda walionewa Tu huruma.
CHAN organizing committee is based in Tanzania, opening match ceremony done in Tanzania and possibly final match to take place in Tanzania. What part did you not understand about these tournaments?
 
Back
Top Bottom