Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu watakucheka sana. Kijana 🤣 🤣 🤣 🤣
Katika mwaka wa 2023, Kenya ilizalisha jumla ya tani 556,653 za nyama

Tanzania, kwa mwaka 2023, nchi ilizalisha tani 805,000 za nyama



Source:

Production is not consumption kilaza..,
 
It's summertime abroad, of course primary school dropout huwezi jua.
How do you expect bongolalas to know that tourism is seasonal? Kwamba tourists only come when it's winter in their country na kwamba msimu wa joto kama sasa, watalii hawapo?

Nimeona comments zao hapo juu nikabaki kucheka tu! Should we also remind them that some tourist hotels even close down during off-season?😂😂
 
Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,
Kenya meat commission abatuer.,
View attachment 3439160
View attachment 3439161
Screenshot_20250812-203438.png

Tena hapo ndio mmepika data
 
Siku hizi ligi ya Tanzania inanunua wachezaji wengi toka North African clubs hasa Tunisia, Algeria and Morocco. Hii inaonesha msuli wa hela.
 
I love t

I love this Idea, this would truly help bring true unity. Sports could really help us unite!!
Kenya and Tanzania will never “ hold hands and sing Kumbaya “( an American Swahili/Negro spiritual bollowed phrase). We are too far apart mentally and philosophically. It will take a supreme power from above for an intervention.. 🤣🤣
 
Ulitoa picha ya National Park after I called you out. Idiot.
Hiyo 'barabara' unayoongelea is an undeveloped private property, sio barabara Rasmi. Atakayenunua hiyo ploti ataifanyia anachotaka. Neno 'Nandi Road' limetumika hapo kueleza sehemu kama vile kuna mitaa huitwa 'Mombasa Road, Thika Road, Waiyaki Way, Ngong Road, Langata Road n.k. Ni kama huelewi mitaa ya Nairobi inavyokuwa named. Nandi Road yenyewe hii hapa kwa google maps wee pimbi - Nairobi kuna Google Street View. Mbona mambo rahisi inawasumbua?

Screenshot 2025-08-12 212406.png
Screenshot 2025-08-12 212428.png
 
Ati state capitalism?… ok . Good luck chilling as an LDC for eternity. Private sector builds wealth not government. Government is there to create an enabling environment.
Hivi ndivyo wazungu wamekuaminisha kwenye project zao za kuharibu uqwwezo wa kufikiria mnazo ziita shule huko Kenya. Ndiomaana maeneo yote yenye rutuba wameshika wao na wanalimia kahawa, mirungi, chai na avocado wakati nyie wajinga mnakufa njaa. 🚮 🚮
 
Hivi ndivyo wazungu wamekuaminisha kwenye project zao za kuharibu uqwwezo wa kufikiria mnazo ziita shule huko Kenya. Ndiomaana maeneo yote yenye rutuba wameshika wao na wanalimia kahawa, mirungi, chai na avocado wakati nyie wajinga mnakufa njaa. 🚮 🚮
Keep telling that to yourself. Majority of Kenyan land is owned by Kenyans. Colonialists left save for a few large scale companies which paid market value for their land and assured creation of employment to locals. But even those crops you mentioned from coffee, tea and avocados, majority of exports are from small scale local farmers. ( sometimes it helps to read or check statistics) 🤪😜
 
Back
Top Bottom