buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Dah ni hatari, ila kuna watu wanatulaumu eti tunapenda mpira wa Simba na Yanga.Kizuri cha jiuza, kibaya cha jitembeza.
We ona yaani hata baada ya kufanya kampeni kichini chini, kwa miaka 3,CCMmtandao wamepima maji wameona kina bado ni kirefu, wakaamua kupitisha jina bila utaratibu. Hiyo itakuonyesha jinsi gani mambo yalivyo kombo.
Unaona kabisa siasa zimezidi.
Utachagua lipi utoke uende Uwanjani or upitie bars or restaurants, screen HD vinywaji, hakuna fala wa Mama Mama.
Unaenjoy mpira ukimaliza unageuza home.
Or uende Uwanjani ukute ufala na siasa nyingi? Like seriously tumezidi sasa na inaanza kukera