Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulishawahi kuona mtanzania anazusha vitu kuhusu kunyarenda.? 🤣🤣🤣

Unajua ni kwanin.?simply because you are nothing to us.
Hivi wewe unaishi dunia gani wee mbilikimo? There are literally Tanzanian online profiles that are 100% dedicated to soiling Kenya. 🤣🤣🤣
 
By the way si lazima gorofa iwe 30 floors kwasababu it doesn’t give it the status of a super tall structure. From 100 meters- 150 meters floors them both of the same status (sky scrapers) some sky scrapers have only 10-20 floors.
Tanzania only have 9 buildings above 100 meters. So yes, Dar bado iko chini Sana when it comes to skyscrapers.
 
Ebu tuonyeshe hizo barabara tuone.

IMG_7669.jpeg
IMG_7670.jpeg
IMG_7672.jpeg
IMG_7673.jpeg
 
Huwa mnafundishwa kukaza fuvu na ku-deny any facts??

So, Kenya airways mmeziandika Ngorongoro ili iwe nini??
Zile ndege za KLM zenye zimeandikwa zimeandikwa ili iwe nini? You are just stupid.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


ngoja ninyamaze sina mwanasheria

ikiwa kura ya maoni ya haki watu wameikimbia wakijua watabwagwa asbh mapema sana
Hata ukiongea huna Cha kufanya,mlikuwa mnalishana matangopori Kiko wapi Sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/DNP9EXHs-pG/?igsh=ZW9nYnlra3hmZW40
 
Back
Top Bottom