Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshaloose game nyingi dhidi ya Tz kuanzia soka la wanawake mpk la wanaume ndo mana leo imeonekana ni kitu cha ajabu saanaa hata nyinyi wakenya hamuamini
Hii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣

Tumenyorosha wanyamwezi kama kawa kama dawa. No wonder uzi kuna utulivu 🤣🤣🤣

I prophecized this a few minutes ago😂😂😂

Wakunya mmeleta wazee,nimeiona hiyo match,kunyan wazee ndio under 23 yao

They have been defeated amateurs wakadhani wanaweza kushinda our senior teams😂😂
Tumefungwa fairly.
Makocha Tanzania wazawa hakuna, kuna upumbavu mwingi sana ulikuwa ukiendelea pale TFF
Hii ni jana usik namwambia mwana tunapigwa kwakua makocha hakuna.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2104279684020326761

Mimi miaka mingi sana napiga kelele kuhusu huyu mkurugenzi wa ufundi pale TFF na ndio responsible na kuwapa kandarasi makocha wangese kama hao

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1907871028283424855

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2003207264442978602?s=20

At last, leo wamelifanyia kazi huyu takataka Oscar Mirambo

View: https://x.com/Tanfootball/status/2104503090686595295?s=20
 
Tumefungwa fairly.
Makocha Tanzania wazawa hakuna,kuna upumbavu mwingi sana ulikuwa ukiendelea pale TFF
Hii ni jana usik namwambia mwana tunapigwa kwakua makocha hakuna.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2104279684020326761

Mimi miaka mingi sana napiga kelele kuhusu huyu mjurugenzi wa ufundi pale TFF na ndio responsible na kuwapa kanfarasi makocha wangese kama hao

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1907871028283424855

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2003207264442978602?s=20

At last, leo wamelifanyia kazi huyu takataka Oscar Mirambo

View: https://x.com/Tanfootball/status/2104503090686595295?s=20

I wish kumjua aliemchagua ahmed ally, worst football played today
 
Na hatupigi kelele kama washamba wa viwanja. 😂😂😂
1790621003972.jpeg
 
Back
Top Bottom