Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakuu siasa hizi za uchawa zimeharibu sana Mambo.

Hii CHAN mtu hana mwamko kabisa kisa mijitu inaingiza siasa kila sehemu.

Yaani mtu utoke home kwako ufike taifa, ukae uenjoy mpira ghafla unaona bendera ya nchi ina picha ya Mama mama.

Jezi zina picha ya Mama mama, bado tukiwa wengi utasikia Mama amejaza.

Bado Taifa stars ikishinda utasikia Mama mama.

Kwa huo ujinga kuna mtu atawazingatia atoke aende kuingizwa kwenye ujinga?

Si bora mtu ukae home.

Kingine Waziri, Naibu waziri, na watu wote wapo na Wajumbe kutafuta kura ya ubunge.

Mwingine Naibu yupo anafanya michongo kesi ya Billion ya Tigo ale na AY.

LET BE SERIOUS SIASA ZIMEDODESHA HAYA MASHINDANO, TOKA MWANZO UNAJARIBU KUGAWA WATU NA MAMBO YA MAMA MAMA, NA TUPO GENERAL ELECTION.

Mbona Museveni amekaa miaka 40 hana huu ujinga?

Unaona kabisa tofauti na Tz nchi zingine wanaenda kwa mpira ila sisi tunaenda kutafuta platform ya Siasa.
 
Back
Top Bottom