babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,291
- 35,687
Ule mji wao mchafu uliochakaa ambao huwa sijui wakazi wake wanaishi wapi umeshaleft group tayari. 😂😂😂Huu apa uwanja mpya wa Znz for Afcon 2027, it’s under construction already 👇🏾View attachment 3438594View attachment 3438595View attachment 3438596wale wazee wa Talanta 🤣🤣🤣🤣 hare is the comeback.. and guess what tunaenda kuwa na viwanja sita vya mpira vyenye hadhi ya kimataifa by 2027.