Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,223
- 33,434
Who are you to tell us what to do?Maswala ya kilimo mngeacha kupost kwa kweli.
Who are you to tell us what to do?Maswala ya kilimo mngeacha kupost kwa kweli.
Wakenya bhana. Sasa hayo majenereta ya nini wakati watu wanatumia solar power na connections from national grid. Inaonesha namna kenya bado ipo primitive.
Watu wanao walisha.Who are you to tell us what to do?
Huku Tanzania wanasambaza vifaa vya kilimo. Nyie mnapewa jenereta za kuwashia TV na kunyolea nywele
Duh kweli hatufanani asee.Huku Tanzania wanasambaza vifaa vya kilimo. Nyie mnapewa jenereta za kuwashia TV na kunyolea nywele
View attachment 3436860
Hivi kuna studio za kisasa East and central Africa kushinda hizi, hazipo ila najua kondoo watajitutumua kulazimisha. 😂😂😂
View: https://x.com/okellodixon/status/1954135758366732696?s=46
😂😂😂Haya manyang'au yanadhani bado tupo kwenye enzi ya vijiji vya ujamaa😁🤣
Hivi kuna studio za kisasa East and central Africa kushinda hizi, hazipo ila najua kondoo watajitutumua kulazimisha. 😂😂😂
View: https://x.com/okellodixon/status/1954135758366732696?s=46
leo fei kachezeshwa no 6 for sure huyu jamaa sio mzuri kwenye kukabaTanzania 2