Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We don't have that dream, we already live in them while you live in crowded uswazi hovels spread all over the place
View attachment 3435857
Apartments are virtually everywhere in Kenya's big towns and cities so don't worry about them. This is Kisumu View attachment 3435858View attachment 3435859View attachment 3435860View attachment 3435861View attachment 3435862View attachment 3435864View attachment 3435866View attachment 3435868View attachment 3435870View attachment 3435872View attachment 3435873View attachment 3435877View attachment 3435878
Hizo nyumba unazoleta nyingi zimeshaanza kuvunjwa.
Pia maeneo mengi hayo ni changanyikeni tukikuletea ushuwani na mid class hukai hapa bro.
 
Capitalism at its best.

View attachment 3435867Which side do you live?
Socialism at its best. Which side do you live in?
images - 2025-08-08T160701.040.jpeg
 
Hiv kweli kiongozi namba mbili kwa nchi anaongea maneno kama hayo kweli hapana hata Lowasa alipo hama CCM hakuwahi kuongea chochote kile kinacho ihusu Tanzania negative ila wanusa gundi ukabila tamaa ya madaraka uchonganishi vyote vyao kazi kwelikweli
Hivi kuna taifa la Africa limeharibiwa akili na wazungu kama wakundustan? Hapo ni ili zile organs za UN zinazotaka kurelocate employees wake Kunyaland wasisitishe mpango.
 
Sijaelewa kwamba
 
Bro, zimevunjwa na nani wakati kila siku mnatuambia kwamba wakazi wa Dar wanamiliki ardhi na hizo nyumba? Nani kazivunja?
Khaaa kwani hakuna matajiri wanaoununua nyumba na kujenga makazi ya kupangisha?
Ngoja nikuletee mfano.
 
Bro, zimevunjwa na nani wakati kila siku mnatuambia kwamba wakazi wa Dar wanamiliki ardhi na hizo nyumba? Nani kazivunja?
Umeona hapo Tandika?
Huo upande wa hilo gorofa nyumba za pembeni zote hapo zimenunuliwa na mjengaji wa hilo gorofa.
Zote zinasubiriwa kuvunjwa ziinuke gorofa.
Hiyo ni Tandika.
images-4.jpg
 
Sijaelewa kwamba
GDP per Capita 😂😂😂 Djibouti ipo juu ya Kenya.
Ila umeiona hiyo Djibouti yenyewe!?
😂😂😂Mavi matupu kwa ground.
 
Back
Top Bottom