Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians live everywhere. Tarmac roads are built widely, not only Dar es Salaam.

TZ siyo Kunya, where everything is in Nairobi.

View attachment 3435793
Shifting goal posts, bado tuko hapa Kwa middle class na barabara za vumbi.

20250808_143837.jpg
 
In 10 Years Population ya Mwanza itafanana na Nairobi. Huku Dar es salaam ikibaki kuwa Mega City in East Africa
In 10, hawa Wakunya wataanza kutepeta.

Arusha kuna:

  • Mount Kilimanjaro international conference center.
  • AFCON, SAFARI city chini ya NHC
  • Samia Stadium

Tanga kuna:
  • EACOP
  • Tanga Port Project

Mwanza kuna:

- Lake Victoria maritime project.

Arusha inatafuna Nairobi.

Zanzibar inatafuna Mombasa.

Wakunya wenye vipesa, vacation itakuwa Tanzania.
 
In 10, hawa Wakunya wataanza kutepeta.

Arusha kuna:

  • Mount Kilimanjaro international airport
  • AFCON, SAFARI city chini ya NHC
  • Samia Stadium

Tanga kuna:
  • EACOP
  • Tanga Port Project

Mwanza kuna:

- Lake Victoria maritime project.

Arusha inatafuna Nairobi.

Zanzibar inatafuna Mombasa.

Wakunya wenye vipesa, vacation otakuwa Tanzania.
Kenya inapoteana siyo muda mrefu. Kila mtu kwa sasa anaikimbia kenya. Wamebaki ving'ang'anizi tu akina Teargass na nairobae
 
Sisi hatukatai barabara za mitaani ni changamoto kwa Dar ama Tanzania kiujumla hilo halikataliwi.
Unatuelezeaje Mkenya kujipanga na kujenga nyumba ya mabati!?View attachment 3435804
Wakunya ni changamoto.

Hivi ni haramu kujenga nyumba ya Tofali au finishing.

Makazi ya Kenya yako aina tatu.

  • Mabati
  • Wakijenga kwa tofali, hakuna finishing
  • Kukiwa na finishing nyumba ya tofali, ni nyumba za makampuni, estates au satelleite cities.
 
Wakunya ni changamoto.

Hivi ni haramu kujenga nyumba ya Tofali au finishing.

Makazi ya Kenya yako aina tatu.

  • Mabati
  • Wakijenga kwa tofali, hakuna finishing
  • Kukiwa na finishing nyumba ya tofali, ni nyumba za makampuni, estates au satelleite cities.
Hata vile vigorofa vyao vya kwa Mukuru kwa Reuben havijapigwa hata plaster.
Zingine tofali zimepinda.
Yani hovyo hovyo.Mtu anajipanga kabisa kujenga nyumba ya mabati na ikikamilika anajisifu kabisa kuwa Yeees nimejenga.
Shaaabaaash mbugila tope hawa mbunye fii hadhaa kabisa.
 
Hata vile vigorofa vyao vya kwa Mukuru kwa Reuben havijapigwa hata plaster.
Zingine tofali zimepinda.
Yani hovyo hovyo.Mtu anajipanga kabisa kujenga nyumba ya mabati na ikikamilika anajisifu kabisa kuwa Yeees nimejenga.
Shaaabaaash mbugila tope hawa mbunye fii hadhaa kabisa.
Sasa si Bora ujenge na tofari za kuchoma kama ni kuokoa gharama, kwao itakuwa sifa kuwa na mabati🤣🤣🤣🤣
 
Sasa si Bora ujenge na tofari za kuchoma kama ni kuokoa gharama
Hata mimi nashangaa sana.
Nina demu wa Kikenya ni mtaita oyaaa alimsifu bro wake kajenga nyumba akiwa na 27 years.
Nikamwambia embu nioneshe pic,lamamayeee mabati from bottom to the top.
Nikacheka kimoyo moyo nikamwambia mpe hongera kajipata.
 
Back
Top Bottom