Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yetu kubwa ni COPY and PASTE na takwimu uchwara.

Ndio maana unakuta mtu yuko Ulaya, anaishi nyumba ya kupanga, anaendesha gari la mkopo (credit card), anakula GMOs lakini anahisi ana mafanikio.

===

Wakati huo huo, huyu ankaa kwake, halipi kodi ya nyumba, anakula organic food na mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku.

Unasema mtunanaishi chini ya Dola moja. Hiyo dola moja haiwezi kununua hata kilo.moja ya mchele anaokula huyu mtu.

KUna Black americsn mmoja, alikuja TZ anasema huwa akija ndio anakula kilo nzima ya Bamia, kwasababu akiwa US hawezi kumudu gharama.

View attachment 3435642
Ndio maana wanauchumi wengi wa Asia wakawa wanasema criteria zinazotumika ni non-factual na fictious.
Mbona hawatumii rial kama kipimo na wanatumia dola?
Rial moja sawa na dola 2 naa.
 
Entire Dar is slum

2022 are you really serious!?
Mkitukanwa mnasema hatuna adabu.
2022 hadi sasa miaka mingapi?
Screenshot_20250808-122450.png
 
Ndio maana wanauchumi wengi wa Asia wakawa wanasema criteria zinazotumika ni non-factual na fictious.
Mbona hawatumii rial kama kipimo na wanatumia dola?
Rial moja sawa na dola 2 naa.
Hivyo vipimo ni vya wakopeshaji, wanaangalia metrics zinazowanufaisha tu.

Ndio maana wanaokaza fuvu mambo ya GDP, GDP per Capita ni MAJUHA tu.

Yaani mimi nina debe la unga ndani, mchele, mboga za majani, kuku bandani kwangu, Mimi napata parachichi bure, chungwa au embe.

Unahesabu vipi kipato changu na kwamba natumia dola moja kwa siku?
 
kwenye hao 28 million extreme poor ni 100% black people na hakuna muhindi, mwarabu au hata chotara tu hata mmoja, it tells a lot about us as people, afrikan people, dunia nzima foreign looking minority ndiyo huwa masikini na majority humiliki nchi, ila tanzagiza tumekuwa brain washed ukiongelea unfair accumulation of wealth kwa wachache wahindi na waarabu wanakuita "mbaguzi" na kwa tanzagiza kuitwa mbaguzi ni big deal, the system imekuwa designed hivyo ...
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako
 
Does that translate to fans in the stadiums? Does it deny the fact that you struggled against lowly Mauritania?
Everyone has seen it and we have agreed that there are no HD channels in Kenya, that's why they are crowding the stadium to watch. Kenya is not digitized

People are asking, what TV do you own?
 
Everyone has seen it and we have agreed that there are no HD channels in Kenya, that's why they are crowding the stadium to watch. Kenya is not digitized

People are asking, what TV do you own?
Sema tu kupata 50 bob ndio shida. Stop looking for excuses
 
Back
Top Bottom