Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are not the smartest lot. Eti hakuna temperature Nairobi. If you can't express yourself like a literate, wachana na argument zingine.
Kwahiyo Kenya Nairobi kuishi katika nyumba za mabati ni sawa!?
Wachaga ujuaji usio na mantiki.
Tanzania nyumba za fukara HUWEZI Kuta ni za mabati kama Kenya.
Ila Kenya mtu anajisifia kujenga nyumba za mabati tupu.
Ndio uone kuwa sisi hatufanani.
Suala la makazi TZ ni suala la kawaida sana halitusumbui kama Kenya.
Hivi uliona Ile video niloleta kuwa Nairobi Kuna familia zaidi ya 20 zinaishi ndani ya penyo za madaraja!??
Hiko kitu hukuti Tanzania daima.
 
Kesho watakwambia wao ndio wanajua Kiswahili kuliko kila mtu.

Wanatapeli sana Wazungu kwa kuwafundisha Kiswahili cha kitapeli huko Ulaya.

FB_IMG_1754481435049.jpg
 
Maku hii ni kitunda na kivule,na hapo nyumba zote kali,nje ya mji hiyo,ukiwa kwa juu unaiona hivyo sasa ukiwa unashuka ukiiona kwa karibu ndio utaiona uzuri wake
Huko ndio kwa middle class, nyumba kali kali eti. 🤣 🤣 🤣 Bongoslum hakuna surveyors, munajenga tu vile munataka, hata barabara hamjui inafaa kupita wapi, munajenga tu kama panya.
 
Kilimani iko wapi hapo bongolala? The picture is taken from Parklands sasa sijui hayo magorofa ya Upper Hill hayafai kuonekana or what's exactly your point?


What will you say about this picture taken in kijiko ya nyama and showing your entire cbd, kariakoo and Upanga all in one shot? Nini kilichobaki hapa?
View attachment 3433510
View attachment 3433507
So hzo picha ndio umeona kila kitu😂 yani tazama hata umbali wa hzo picha na ile ya nairobi picha haijapigwa mbalia na kila kitu kina fit kwenye one pic
 
Cherry picked kujiliwaza,., Kisha bado wageni wakiishi Kenya Kisha watembee Bongo wanaona mko nyuma ya Kenya miaka 30, licha ya kuinua Kibera, propaganda zenu hazina ushawishi dhidi ya reality🤣🤣🤣🤣🤣..,
View attachment 3433729
Huyo jamaa anasema yuko HIGH DEMAND sana Kenya.

Dada zenu mpaka nyie mnataka awapige miti.

Halafu ni Kinyozi tu huko US na Youtuber.
 
Back
Top Bottom