Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,112
- 33,305
Port si ni ya Mwarabu? Dar Port haimilikiwi na Tanzania.uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector 😂😂😂😂😂
copper from congo and zambia
Port si ni ya Mwarabu? Dar Port haimilikiwi na Tanzania.uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector 😂😂😂😂😂
copper from congo and zambia
Poe kwa maumivu. Ulisema affordable housing atafanyika, saa unatafuta kichaka cha kujifichia🤣😂😂umeamua kutuonesha takataka live bila chenga 😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
leo umejipiga denda mwenyewe
So umeshind kuprove me wrong? Bure kabisa.uniletee ww uliesema analipwa 50k inaonekana uliona mkataba wake au ww ndio ulimsainia😂😂😂😂
Uko sahihi mkuu ila nahisi inahitajika pia baadhi ya sera za Chama Cha CCM zibadilike maana inaonesha kabisa Kuna mapungufu kwenye sera zake baadhi.Upizani wa sasa unaweza fananidha na ule wa 1995 au 2010? Si dhani.
Ngoja tuone.
Naelewa kuchoshwa kwako na CCM, wengi walikuwa hivyo 2010-2015, ila hapa naongelea misingi ya chama, siyo watu.
kama mtandao wataondolewa, na kuletwa katiba ya Warioba (ambayo inawajibisha viongozi), CCm itakuwa vizuri.
Kwa sasa hakuna chama mbadala, Lissu (CHADEMA) kwa mfano, amejikamatisha sana na EU, sasa unajua mwenyewe, ajenda za akina Ursula zilivyo, tutashurutishwa mambo ya ajabu ajabu.
Embu Wacha nijadili mambo ya maana.mpumbavu ni mpumbavu, yani sikio la kufa halisikii dawa., idiocy on steroids here, betting firms even consider form of players and current performance ya team, basing on latest previous performance, sio mere ranking hehehehe, wewe ni fala, hehehe, team inaweza ku survive relegation season iliyopita, kisha current season wanashinda game zao zikifatana kwa mpigo., watapewa odds kidogo based on current variables that is making them win games, nyambaff!!..,
Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.Hivi sera za ACT wazalendo zikoje?
Hii sheria ya wa znz kumiliki ardhi bara ila sisi kutomiliki kule, mbona ya zamani sana. Wakati na kua hata kwenda Znz ilikuwa lazima uwe na passport.
aliekwambia port ni ya mwarabu nani ? ww unajua kazi ya DP world pale ??😂😂Port si ni ya Mwarabu? Dar Port haimilikiwi na Tanzania.
yani umeamua kujipiga romance mwenyewe 😂😂😂😂Poe kwa maumivu. Ulisema affordable housing atafanyika, saa unatafuta kichaka cha kujifichia🤣😂😂
ww ulitoa wapi hio mshahara 50k 😂😂😂So umeshind kuprove me wrong? Bure kabisa.
mbona sisikii uganda wakilalamila, sioni rwanda au burundi wakilalamila kwann ni hawa mbwa peke yao 😂😂😂😂Kila mnusa gundi analilia Tanzania bila Tanzania maisha yao ni tabaani serikali ikaze kamba na kila mbuzi ale kwa uerefu wa kamba yake
Hapo ni halftime?17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,
Namanga pakionekana hata lorry Tano hatuwezi pumua.
View: https://x.com/fuwadii/status/1952298867753406694?t=Km1NWuuviHbAfLBB4t_7Zw&s=19
Useless kabisa imagine maneno mengi, kunuliwa tiketi na Ruto, kuvamis uwanja, fungulia mbwa stillHii ni zaidi ya aibu kwa bara la Africa🤣🤣🤣😂.
Here I don't need to zoom anything to see how empty the stadium is.
View attachment 3430923
Hizo zinaenda wapi?