Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,919
- 33,197
Stadium with a farm like pitch?😂😂🤣We huoni stadium inavyopendeza wewe au una wivu wa kike?
Stadium with a farm like pitch?😂😂🤣We huoni stadium inavyopendeza wewe au una wivu wa kike?
Wivu wa kike huo, akunwe mwingine uwashwe wewe.Stadium with a farm like pitch?😂😂🤣
Hamna uwezo wa kujaza uwanja bna nyiny kenge😂Stop consoling yourself and buy tickets
dogo anashangaa na anaomba asirudi kwao 😂😂😂😂😂
View: https://x.com/ericnjiiru/status/1952248277216481540?s=46
Sijawahi ona tangu zunia iumbweThat's an observation deck. And yes, people pay to get there. You can't get there without paying. Hao wote unaowaona hapo wamelipa pesa to get there
Mkiambiwa ukweli mnasema ni wivu. Mbona nipatwe na wivu because of bad things?Wivu wa kike huo, akunwe mwingine uwashwe wewe.
Because you lack exposure.Sijawahi ona tangu zunia iumbwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂read againPesa zote zinaenda kwa wazungu Nyinyi mnabaki mkiimba mama😂😂😂
Leta evidence kwamba sio 50k.aliekwambia mshahara wake ni 50k nani?? hebu leta mshahara wake hapa tuangalie wote kondoo wewe
signing fee yake tu over 19m ksh alaf apewe salary ya 50k ww ni wazimu wa kichwa 😂😂😂😂😂
Hii awamu ina shida, machawa wameamua tu kujizima data kwa manufaa binafsi. 😂😂😂Kuna video niliona Kuna Mkoa raia wanatupa Kadi za uanachama CCM na wanarudisha baiskeli.
Hakuna awamu CCM imebugi ama awamu hii ya Samia Suluhu.
Daah ni basi tu tupo TZ ila hakuna kiongozi wa hovyo kama huyu mama kuwahi kutokea.
Maumivu ya wivu yalianza baada ya Tanzania kushinda 2 bila.Wivu wa kike huo, akunwe mwingine uwashwe wewe.
17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,View attachment 3429760
Hii ndio hiyo picha uliyoipost sasa hivi maku,zoom urself