ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
πππππππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/wambingwa_/status/1951938553736220943?s=46
View: https://x.com/wambingwa_/status/1951938553736220943?s=46
Leta evidence kwamba sio 50k.aliekwambia mshahara wake ni 50k nani?? hebu leta mshahara wake hapa tuangalie wote kondoo wewe
signing fee yake tu over 19m ksh alaf apewe salary ya 50k ww ni wazimu wa kichwa πππππ
πππππππππππread again
View: https://x.com/africafirsts/status/1952118847584317706?s=46
Hii awamu ina shida, machawa wameamua tu kujizima data kwa manufaa binafsi. πππKuna video niliona Kuna Mkoa raia wanatupa Kadi za uanachama CCM na wanarudisha baiskeli.
Hakuna awamu CCM imebugi ama awamu hii ya Samia Suluhu.
Daah ni basi tu tupo TZ ila hakuna kiongozi wa hovyo kama huyu mama kuwahi kutokea.
Maumivu ya wivu yalianza baada ya Tanzania kushinda 2 bila.Wivu wa kike huo, akunwe mwingine uwashwe wewe.
17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,View attachment 3429760
Hii ndio hiyo picha uliyoipost sasa hivi maku,zoom urself
Wanalazimishe Kasarani iwe empty vile Makwapa ilikuwaπππ17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,
Hata nyinyi nyangβau msemeje kushushwa na Morroco hakuepukiπ17:01 it was halftime.., guys had stepped out of their seats kuenda wash rooms and stretching a bit.., yaani kwa kulazimisha hamjambo., kubalini tu ukweli.., seats are 48,000, CAF approved 44,000 tickets for safety reasons.., and it is the trend across East Africa..,
Mbona watanzania ni maboya hivi? hehehe, hii inaitwa logical fallacy, a skewed comparison analysis, Burkina Faso is not DRC kilaza.., mngecheza na hii hii DRC, same players na pia Kenya wacheze na hio Burkina Faso mlio cheza nao, only then your comparison will make sense, otherwise this is stupid, inaonyesha how shallow u are, madhara ya elimu duni, zero logic and critical thinking abilities hehehehe., yaani both are football matches but variables are not exactly the same, Watanzania ni vilaza kweli heheheeheHehehehe wewe ni matako!?
1. Tumeona picha hapo hamkujaza uwanja na video zimeonekana mechi ikichezeka kukiwa na empty seats.
2. Wacha USENGE kuwa mtu mzima, Tanzania alikua na ball possession ya 60 dhidi ya Burkinabe 40. Magoli mawili na goal attempts 16 nane zaidi ya Burkinabe.
Kenya ball possession 52 kwa 48 mkazidiwa goal attempts 14 dhidi ya 5.
Hata takwimu unazifahamu matako ya nguruwe wewe!?
Embu compare and contrast hapo chini.
View attachment 3429931View attachment 3429932
Nakubali ni wazuri, but mpira hudunda, mchezo ni 90 minutes.., tutaona matokeo.,Hata nyinyi nyangβau msemeje kushushwa na Morroco hamuepukiπ
Ona huyu matako mwingine anaongea nini!?Mbona watanzania ni maboya hivi? hehehe, hii inaitwa logical fallacy, a skewed comparison analysis, Burkina Faso is not DRC kilaza.., mngecheza na hii hii DRC, same players na pia Kenya wacheze na hio Burkina Faso mlio cheza nao, only then your comparison will make sense, otherwise this is stupid, inaonyesha how shallow u are, madhara ya elimu duni, zero logic and critical thinking abilities hehehehe., yaani both are football matches but variables are not exactly the same, Watanzania ni vilaza kweli heheheehe
We acha tu,mie nipo ACT wazalendo nagombea mwaka huu pia Temeke, aisee CCM labda atapata urahisi kwenye urais,ila kwenye udiwani na Ubunge kazi anayo sana.Hii awamu ina shida, machawa wameamua tu kujizima data kwa manufaa binafsi. πππ
Wacha kulazimisha ujinga wako humu, can't u see how an idiot u are, what was the statistics then between Tz and DRC?.., and does ranking play football kilaza?.., tafuta elimu kilaza upunguze kujibu hoja kishabiki uanze kuandika kitaalamu., uko hovyooo! Can't even see the variables are not the same, kama ranking ndio unatumia u are a twat!Ona huyu matako mwingine anaongea nini!?
Halafu hakuna ulichoongea zaidi ya takataka.
Hao DRC tukikutana nao AFCON wakiwa full mkoko na international players wake wote tuli draw nao.
Ninyi mmekutana na kinda hao!?
Comparison ipo kwasababu kwa renki Burkinabe ya 65 na DRC ya 61.
Na kitakwimu Burkinabe inaonekana kupiga hatua kimpira kuliko DRC,kwanini nisiweke comparison!?
Hivi hata zile hesabu za domain and range ulisoma kweli wewe matako!?
Yani Kenya kumfunga DRC ni sawa na Saudi Arabia kumfunga Argentina kombe la Dunia 2022, takwimu zinaonesha wazi DRC aliwazidi kimpira ila hakumakinika tu golini.
Ukija wa Tanzania takwimu zinaonesha Burkinabe tulimpelekea moto wa kifuu.
Wewe Kaa endeleza non-factuals.
Mmmh mkuu upinzani umerudi kwa Kasi. Ila alichokosea CDM ni kujiweka kando na uchaguzi hapo kuharibu.CCM imerudi ilivyokuwa 2015, tofauti kwa sasa upinzani umedhoofika.
CCM ni chama kizuri ila mtandao wamekiharibu sana, hasa kwa kuwa wao ndo wazee wa chama.
Wale wakubwa zao waliokuwa wakikemea mambo ya hovyo, wengi aidha walisha kufa au ni wazee sana.
Wewe makalio ya nguruwe rank inatumika kwenye mpira ili kushabihisha ubora wa timu kwa timu.Wacha kulazimisha ujinga wako humu, can't u see how an idiot u are, what was the statistics then between Tz and DRC?.., and does ranking play football kilaza?.., tafuta elimu kilaza upunguze kujibu hoja kishabiki uanze kuandika kitaalamu., uko hovyooo! Can't even see the variables are not the same, kama ranking ndio unatumia u are a twat!
What phone unatumia dogo hadi unajiaibisha hivi just zoom. Au unafikiri sisi wote ni wagonjwa wa macho. Zoom it.
mpumbavu ni mpumbavu, yani sikio la kufa halisikii dawa., idiocy on steroids here, betting firms even consider form of players and current performance ya team, basing on latest previous performance, sio mere ranking hehehehe, wewe ni fala, hehehe, team inaweza ku survive relegation season iliyopita, kisha current season wanashinda game zao zikifatana kwa mpigo., watapewa odds kidogo based on current variables that is making them win games, nyambaff!!..,Wewe makalio ya nguruwe rank inatumika kwenye mpira ili kushabihisha ubora wa timu kwa timu.
Rank ndio inapima mizani ya ubora makalio wewe.
Kama hujui mpira nyamaza.
Au unachojua wewe rank zinapeana tu kama chapoo hapo Kibera!?
Hata hao watu wa betting wanavyotoa odds za kubet huwa wanazingatia rank ya timu husika ambapo ndio ubora husika.
Naona naongea na kilaza hapa.
Upizani wa sasa unaweza fananidha na ule wa 1995 au 2010? Si dhani.Mmmh mkuu upinzani umerudi kwa Kasi. Ila alichokosea CDM ni kujiweka kando na uchaguzi hapo kuharibu.
Ngoja tuone.Sehemu ambayo CCM hatopata upinzani ni kwenye kuwania Urais tu,ila ukija kwenye udiwani na Ubunge aisee kutakua Kuna viti vingi vya upinzani trust me.
Maana wanachama wa CDM wengi wamejiunga ACT kuongeza nguvu.
Naelewa kuchoshwa kwako na CCM, wengi walikuwa hivyo 2010-2015, ila hapa naongelea misingi ya chama, siyo watu.Aaah kaka CCM ipumzike inatosha,maana sera zao tayari zishapitwa na wakati ifike hatua waruhusu sera mpya na mawazo mapya kutoka kwa watu wapya.