Namanga pakionekana hata lorry Tano hatuwezi pumua.
View: https://x.com/fuwadii/status/1952298867753406694?t=Km1NWuuviHbAfLBB4t_7Zw&s=19
Hizo zinaenda wapi?
Namanga pakionekana hata lorry Tano hatuwezi pumua.
View: https://x.com/fuwadii/status/1952298867753406694?t=Km1NWuuviHbAfLBB4t_7Zw&s=19
Muone matokeo mara ngapi?😎.., tutaona matokeo.,
When we play MoroccoMuone matokeo mara ngapi?😎
Binguni.Hizo zinaenda wapi?
Alafu mnashindwa kuijaza wakati ya game 😂😂😂🤣Samia Suluhu Stadium, Arusha 🇹🇿
Hii ikikamilika itakuwa na design nzuri kuliko hiyo Talanta Stadium which is big for nothing View attachment 3430933
Tayari Morocco anaongoza kundi lenu mlilokuwa mnaongoza baada ya ushindi dhidi ya DRC.When we play Morocco
Kwani shida iko wapi wewe nyang’au?😂Alafu mnashindwa kuijaza wakati ya game 😂😂😂🤣
Hizo za Kenya mnaconstruct sasahivi mtajaza kwenye local league yenu kama Tanzania inavyojaza kwenye league ya ndani?Alafu mnashindwa kuijaza wakati ya game 😂😂😂🤣
Mechi ilichezqa saa mbili usiku sasa unataka watu wainge sa ngapi kumi na mbili 2 hrs before??Hii ni zaidi ya aibu kwa bara la Africa🤣🤣🤣😂.
Here I don't need to zoom anything to see how empty the stadium is.
View attachment 3430923
Inatakiwa tupate kampuni moja ya magari ya kawaida na hyce za abiria, ili tupumzike na used za Japan.wakat rasi ananunua ticket na kugawa kwa wafanyakazi wa serekali na wale kalenjin wenzie huku kwetu kiwanda chapili cha FAW kimejengwa bagamoyo apart of that in kibaha 😂😂😂
hichi kitazalisha 5000 units by 2027 mwaka huu wataanza na 2000 units
View attachment 3430991View attachment 3430994View attachment 3430995View attachment 3430997View attachment 3430998View attachment 3431000View attachment 3431001View attachment 3431003View attachment 3431004
uniletee ww uliesema analipwa 50k inaonekana uliona mkataba wake au ww ndio ulimsainia😂😂😂😂Leta evidence kwamba sio 50k.
uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector 😂😂😂😂😂Pesa zote kwa mzungu😂😂😂
No wonder Tanzania bado ni LDC despite having all the natural resources in the world.
umeamua kutuonesha takataka live bila chenga 😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Affordable housing in Mombasa. We are clearing all the shacks in Kenya.
![]()
![]()