ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kelele nyingi alaf wanaangukia pua 😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1950873123101811136?s=46
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1950873123101811136?s=46
Funny enough we have never had power rationing like you
Alafu wanatutusi wakituita maskini, alafu maskini akikaza nati tajiri anatoa milio, sasa nani ni maskini hapa? Kenya ni Mexicans wa East Afrika, always dreaming to have an entry of a promised land the USA of East Afrika, the Tanzania Dream. Serikali ishikirie hapohapo, wakiachia na sisi tunakinukisha, tumechoka dharau kwa watu tunaowalisha.Kaka una huruma sana na hawa nyang'au. Itakua huwajui vizuri.
Hao wasenge hawana Shukrani kabisa, huoni before ya marufuku walikua wanajitapa humu kijeuri kupitia hivyo vibarua vya Tz.
Utasikia eti mashamba ni ya wakenya wakati wehu wananunua shambani, utasikia wao ndio wamelima mahindi yote.
Hamna Shukrani kabisa, acha wakazwe mbwa hao, kingine kama kweli wanajiweza waende TIC wajisajili
Haiwezekani Serikali ibebe mzigo wa watu 60m na tuongeze hohehahe wa nchi nyingine failed yenye kiburi.
Mkuu ulikuwa unatoka Lubumbashi nn, kwa mazingira navyoyaona.How the International Airport Passenger Terminal looks like.
JNIA , a masterpiece, a true architecture glimpse.
Kula chuma hicho,
Na bado msalato international airport in Dodoma , plus Zanzibar international airport, Plus Kilimanjaro international airport .
Currently this is the Largest and Modern airport passenger terminal in East and Central Africa.
Photos taken by me two days ago.
View attachment 3426699View attachment 3426700View attachment 3426701View attachment 3426703
Wawafukuze hao viwete wanaosema ni WA kwetu , kwanza hiyo biashara ni illegal inakuwaje wanawahifadhiAlafu wanatutusi wakituita maskini, alafu maskini akikaza nati tajiri anatoa milio, sasa nani ni maskini hapa? Kenya ni Mexicans wa East Afrika, always dreaming to have an entry of a promised land the USA of East Afrika, the Tanzania Dream. Serikali ishikirie hapohapo, wakiachia na sisi tunakinukisha, tumechoka dharau kwa watu tunaowalisha.
Households is the SI unit of measuring electricity connectivity, sio hizo ujinga mmekwamilia.Yes, We'll talk about villages because that's where we had gaps in terms of access and connectivity, unataka tuongelee connectivity na access mijini? Ulienda shule kweli ?
You don't know your country.You clearly don't know Tanzania.
That's a picture of last mile connectivity. Do you know what it means? Last mile connectivity means that electricity in now being connected to the houses, sio hizo zenu za poles kupita Barbarani alafu mnasema mmekuwa connected na electricity while houses surrounding that electric pole has no power from that pole. Foolish people.Toka huko ulikojifungua Chukua Tahmeed sehemu haijafikiwa na umeme uje useme kenge nyie. Kelele kingi mwisho
View attachment 3426859
wenye akili zao sasa 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1951020058890711369?s=46
Wamezoea viingilio vya bure.
View: https://x.com/EricNjiiru/status/1951171426901188831?t=t-UaivbR974Lc8FE9UrcHw&s=19