Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilijua tu. Unatuwekea huyu malaya aliyefukuzwa na mme wake. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Namjua huyu dada alikuwa anagawa uroda na tigo kule mambwepande.
Awe Malaya asiwe Malaya, ni Malaya wenu.πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hii nchi kuna ujinga mwingi sn, wamesikia polepole anaongea leo eti yamebana mitandao ya kijamii mpk you tube, CCM majinga yapo mengi sn, alafu IT yenyewe hayajui, unaweka VPN unaangalia kama kawa, maccm yanaharibu sn taswira ya hii nchi na yanajichoresha sn.
 
mpumbavu wewe unanifanya mm mgeni wa kuja kenya au? bila passport au temporary passport unaeza ingia kenya au uganda ??? lini ushawah toka nje ya ushago hapo???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe na ng'ombe tofaut yenu ni nn ?
Tena wako serious kwa mtz, wanaandika hadi siku kabisa za kukaa kwenye passport, na location na kama huna useme number ya siku ya host wako
Ni vile tu watz sio waongeaji, tungepiga makelele mitandaoni, sijui wangeficha wap sura zao
 
mjinga wewe huna akili how can a tanzanian begger aingie kenya bila passport unless nyinyi hamuna nchi muna guest house ya kunyanduana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu unakuta mp kabisa anaongelea beggers. Mkuu wa Uhamiaji yupo kabisa ofisini. Hiv mtu atoke nchi nyingine aende kuwa omba omba na nyinyi mpo tu. Hiv Kuna nchi hapo?
Ndo maana watz huwadharau tu. Maana wanaongea Sana halafu ujinga tu. Tunaita kupayuka. Wakenya ni wapayukaji na wakurupukaji tu
 
Nimeona wakenya kadhaa wanajieleza kweli, lakini wa South wanawapiga misumari ya moto 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 .
Watanzania tupo kimya wanagongana wao kwa wao kwenye mitandao
Wasouth ni Afrophobic na ndio wanataka kwao iwe hivyo sasa hii swalalaTanzania linakuwa kama justification yao.
 
Ninaweza kuiona kama itakupendeza kaka?
 
Ingetokea huku Tanzania hao omba omba wawe ni wakenya sipati picha Makakala asingekaa ofisini na mchana kweupe wangerudishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…