Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa wanazopata omba omba wenu hazikuwi quantified but i assure you ni mabilioni, kenyans are generous
 
Hakuna kelele, ni nyinyi mnatufuatilia saaana. UG wameenda maandamano ila hamna habari mko busy kusema Wakenya wanapiga kelele. 🚮
Maandamano gani??

Mnaoiga kelele, mnafanya PRESS, mnaweka TVs na paper headlines.

Kelele kibao
 
Sisi priority yetu ipo pengine, kazi yenu ni kujiliwaza tu.. yani upeleke 500ksh tu kwa mwaka kwa kila mwanafunzi kusimamia masomo yake kisha ujipige kifua eti unatengeneza uwanja kwa fedha zako, huoni hata aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…